Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Wewe umeanza kunisoma jana.We jamaa utakuwa Tisiii na umeweka picha ya Lissu ili kuwapoteza maboya
Watu wanabidi kuwa makini na wewe utakuwa upo hapa kwa Kazi maalumu.
Wewe umeanza kunisoma jana.We jamaa utakuwa Tisiii na umeweka picha ya Lissu ili kuwapoteza maboya
Watu wanabidi kuwa makini na wewe utakuwa upo hapa kwa Kazi maalumu.
Yule kijana Shadrack Yusufu Chaula aliyemchora rais halafu akaichoma picha polisi ilimshikilia kwa nini?Inaruhusiwa na haijaanza Leo Kijana wetu
Na wakamzima kama taa aliposhinda kesi na kurudi uraiani.Yule kijana Shadrack Yusufu Chaula aliyemchora rais halafu akaichoma picha polisi ilimshikilia kwa nini?
Ile nayo si sanaa yake tu?