Bonge la Ngoma: Nikki Mbishi Fit Mama. Sikiliza mwenyewe hapa

Inaruhusiwa na haijaanza Leo Kijana wetu
Yule kijana Shadrack Yusufu Chaula aliyemchora rais halafu akaichoma picha polisi ilimshikilia kwa nini?

Ile nayo si sanaa yake tu?
 
Yule kijana Shadrack Yusufu Chaula aliyemchora rais halafu akaichoma picha polisi ilimshikilia kwa nini?

Ile nayo si sanaa yake tu?
Na wakamzima kama taa aliposhinda kesi na kurudi uraiani.

Bongo watu wengi Wana ulemavu wa akili. Wanafanya mambo bila logic kana kwamba wao wataishi milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…