Bonge la perfectionist

Bonge la perfectionist

Zamani nlikuaga kama wewe. Nikigonga gari kwenye bata na sina hela ya kutengeneza nakua na stress wiki nzima na hasira kwa kila mtu. Saiv nikiibutua naiacha tu nakula boda na maisha yanaendelea
 
Namm nikikuanzia hapa, utajikuta kila kitu mwilin mwako kinatetemeka.

Zingatia hapa "Kila kitu mwilini"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siunanijua????
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️☝️☝️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️👣👣👣
 
Heheheh ivi unajua nko wapi saizi ,mbona tunafanyiana ivo[emoji1787][emoji1787]
Nitazivunja kwa namna nyingine[emoji28][emoji28][emoji28]cha msingi ni kuwa na furaha mkuu[emoji4][emoji4][emoji4]
Iyo namna nyingine sasa chamuhimu wote tufurahi tu[emoji6]

Embu tujikite hapo kwenye namna nyingine
 
Hahahahaha zamu yako ,kisigino kugonga kisogo
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji3516][emoji3516][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji188][emoji188][emoji188]
Ayaaa ayaaaaaa sitoshuka huko chini
 
Heheheh ivi unajua nko wapi saizi ,mbona tunafanyiana ivo[emoji1787][emoji1787]Iyo namna nyingine sasa chamuhimu wote tufurahi tu[emoji6]

Embu tujikite hapo kwenye namna nyingine
😅😅😅najua utakuwa kwenye majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.

Mi nafikiri tujikite zaidi kwenye kutafuta pesa🧚‍♀️
 
Ushauri wangu kwako, "don't let perfect be the enemy of good"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amin nakuambia hata utafute Pesa vipi, haziwezi kukutosha nabado ukizipata kama huwezi zitumia kwa iyo "namna nyingine" ni kazi buree
[emoji28][emoji28][emoji28]najua utakuwa kwenye majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.

Mi nafikiri tujikite zaidi kwenye kutafuta pesa[emoji3344]
 
Hahahahhaa unajutia kama Refa alocheza mechi ya Simba na Mbeya, kakubali goli,kisha akalikataa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28]naijutia hiyo namna nyingine wallah[emoji28][emoji28][emoji28]
Usijuteee, tujikite tu hapahapa ili tupate mwisho mwema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom