Bonge wa clouds!!!

For sure ,kama wewe hukipendi ni mtazamo wako na hujalazimishwa!
 
basicaly 4 tha tym being nlikuwa napenda sana especialy mornin o way 2 ofce but kwa sasa MATANGAZO yamezidi kila baada ya 3mnts tangazo 4 sure it real booring on my side
kama ni operation cost mbona wengine kama kiss wana-manage withn 15 to 30 mnts then comercials?
Apart 4rom that wanajitahidi thats tha truth
 
uko so bright dadaangu,umemaliza kila kitu
 

ubitozi bila hela sawa na kuwa na upara bila elimu
 
Kila siku humu Clouds Clouds....sioni mkilia lia kuhusu Radio One, Times FM, East African....so why Clouds all the time?
 
Baadhi ya misemo aliyowahi kuisema bonge ni

Kazi ya jina kuitwa....
Mwanafunzi hachagui yuniform (sare ya shule)..
...Bora ya uzee kuliko uzembe..
...Ukiitwa ..itika..
 
Cloudz iko poa ila ukickiliza power breakfast kuna matangazo mengi sanaaa. Vile vile bonge anajitahid kupunguza baadh ya kero jijini kwa kupeleka madai mf.ubovu wa barabara mf.mashimo, kwa maofisa husika na kutoa feedback. Jamaa mcheshi na yuko poa.
 

Nahisi huyu jamaa haujui 'umasikini' na wala hasomi makala na mikakati kuhusu kuondoa umasikini hasa MDGs reports. Ni vema akafahamu kuwa kuna diseases za poverty kama sehemu ya poverty na watu wanakufa sana tu. Magonjwa hayo ni HIV/ AIDS, malaria, TB na mengine makubwa.

Source: Assessing Progress in Africa toward the Millennium Development Goals, 2010, page 41 under goal 6
 
. Ni vema akafahamu kuwa kuna diseases za poverty kama sehemu ya poverty na watu wanakufa sana tu.

Wewe akili za kukariri zitakuponza, anza kutumia ubongo wako.
 
Sidhani kama ana lolote jipya, na hakuna mtu serious anayesikiliza clouds so ukitaka kujua nchi hii ina wajinga wangapi basi angalia idadi ya wasikilizaji wa hiyo redio!
pia wapo ambao hawapo sirias na hawasikilizi clouds, we upo kundi lipi?? la sirias au lisilo sirias?
 
yatimaa adekiiiiii....
mbayaa baba yako analooo....
 
....hata mbuyu ulianza km mchicha...
...mbea haulizwi....

Wasioipenda clouds wana lao jambo... Inalenga wote, wakubwa, wadogo, vijana, wanasiasa/wanadiplomasia, wenye matatizo mbalimbali...
Usipopenda kusikiliza kipindi flani basi utapata tu kunachokufaa kusikiliza...

Clouds fm.....radio ya watu...
 




+km mtu anahuruma,anapenda testimony ukimwambia ususiklize NJIA PANDA ..ATALIA NAKWAMBIA
+AU mpz wa mpira,francis cheka umwambie asisikilize sports xtra..kila siku saa 3

ennhh nimemfanyia matangazo kak joo ya kutosha anilipe sasa
 
Radio ya wajinga husikilizwa na wajinga full stop
 
Sidhani kama ana lolote jipya, na hakuna mtu serious anayesikiliza clouds so ukitaka kujua nchi hii ina wajinga wangapi basi angalia idadi ya wasikilizaji wa hiyo redio!

Mkuu inaonekana una chuki binafsi. Ina maana Clouds FM hawana kipindi chochote kizuri? Tusiwe hivyo, pale kitu kinapokuwa kzuri tusiwe wachoyo wa fadhila!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…