Bonge wa clouds!!!

Rose,
Kila mara nakusifia kuwa uko juu kuliko mawingu!

Kila nikikusoma najiwa na mawazo ya " with a light touch" by the legend Adam Lusekelo.
Wenye kukusoma watajua kuwa pamoja na kuburudisha basi unafundisha pia.
Keep it up love!
 
Hii si ndo tv na redio hatari sana. Si ndo alimo Kibonde? Hawajawahi kuwa serious. Labda kama huyo si mmoja wa vibonde hao.
 
Sidhani kama ana lolote jipya, na hakuna mtu serious anayesikiliza clouds so ukitaka kujua nchi hii ina wajinga wangapi basi angalia idadi ya wasikilizaji wa hiyo redio!
acha ucdm wako ww yani wakikiponda ndo tuichukie the peoples station we ulitaka waiponde ccm tu ndo iwe furaha yako
 
Ahsannte sana
 
Sidhani kama ana lolote jipya, na hakuna mtu serious anayesikiliza clouds so ukitaka kujua nchi hii ina wajinga wangapi basi angalia idadi ya wasikilizaji wa hiyo redio!

Angalia vizuri, utakuta wewe ndiye mjinga kabisa kabisa
 
Rose,
Kila mara nakusifia kuwa uko juu kuliko mawingu!

Kila nikikusoma najiwa na mawazo ya " with a light touch" by the legend Adam Lusekelo.
Wenye kukusoma watajua kuwa pamoja na kuburudisha basi unafundisha pia.
Keep it up love!

thankk uuuu
ADAM LUSEKELO ndo nani?mwenzio smjui mwaya
 
sasa hivi kipindi cha maana asubuhi ni Morning Magic cha Magic FM. Unawakuta Orest Kawau, Mashaka Nzowa na Kibwana Dachi. Huyu Dachi kama wamuitavyo ZAIDI YA HABARI ni kweli. Ana uelewa mno wa kile anacozungumzia. Halafu anavyoongea utadhani hataki vile. Namkubali sana
 
Tatizo Radio Station nyingi zipo kwenye Masafa zaidi 90:00KHZ FM ambapo magari mengi yanakujana Radio zisizozidi hayo masafa...hivyo kwa Dar Utasikiliza CLOUDS,RADIO ONE,KISS FM,TBC international na EAST AFRICA RADIO tu...
 
msemo mwingine wa bonge: Mwanamke hasingiziwi mimba
 
Hao clouds si ndo walimwibia SUGU(Mbunge) project yake ya malaria?! Hawana lolote...! Na pia si waliwahi kumwibia huyo huyo sugu vyombo vyake vya studio alivyokuwa ameingiza nchin kwa ajil ya kufungua studio....???!!! Au nasahau jaman....?
 
Sidhani kama ana lolote jipya, na hakuna mtu serious anayesikiliza clouds so ukitaka kujua nchi hii ina wajinga wangapi basi angalia idadi ya wasikilizaji wa hiyo redio!

Mjinga ni wewe hapo unaedharau wenzako. Kila mmoja ana maamuzi yake, enzi za kuwa na radio moja zimekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…