WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
mupe mupe uyooooooo...clouds si mbaya yooote
kuna vpnd bomba na watangazaj bomba pia
km wewe mding acha kusikiliza XXL ..na autakwazika ..lakin kumwambia yank mwenye 10-28yrs asisikilize XXL atakushangaa cx weng wao ndo wanapenda swaga zile na muziki ule
kiumwambia mtu mlokole/mkristu asisikilize I SUNDAY jumapili asubui utamkwaza na atakukemea
kumwambia mdada wa saloon/b mdogo pale home/mdada asisikilze LEO TENA ahh atakuona unamchawia
kumwambia dereva tax asisikilize JAHAZ ahh atakuongezea nauli..from buku 3 to buku 8
kumwambia sista duu/brazamen/easy go gal,boy /mtu asiye na maadili na anayependa kusilkiliza wapuuzi wakichambua mahusiano wakat wao ata awana uhusiano unaodumu mwez mmoja leo uyu kesho yule asimsikilize LOVENESS ahh atakusghangaa coz ndo anapenda
ukimwambia mtu anayependa diplomasia n global news asisikilize KURUNZ jumamos asubui anaweza kuku sue..
na kumwambia mtu mkaka/mdada mwenye machungu na nchi yao asisikilize breakfast ..ahh atakushangaa..thou sometimes wanakuwa km makada wa chama flan ivi...apo tu wanakera na yule mdor wao mwenhye kiswanglish
Rose,
Kila mara nakusifia kuwa uko juu kuliko mawingu!
Kila nikikusoma najiwa na mawazo ya " with a light touch" by the legend Adam Lusekelo.
Wenye kukusoma watajua kuwa pamoja na kuburudisha basi unafundisha pia.
Keep it up love!