korosho zinaharibikia ikulu kwa magu na hapa unajigambaAgizeni pamba kutoka Mexico, hatuuzi tena Mali ghafi. Mahindi tumekubali kuwauzia ili msiendelee kufa njaa, pamba hatutowauzia, viwanda vyetu vitanunua, ninyi agizeni pamba toka Mexico.
Bora ziharibike kuliko kuwauzia ninyi, ninyi ardhi yenu yote mliwapa wazungu walime chai na maua, mlitegemea Mali ghafi ya viwanda vyenu itoke wapi?, mtajua kwamba Tanzania ndio tegemezi lenu.korosho zinaharibikia ikulu kwa magu na hapa unajigamba
Kenya ndio alpha na omega kwa malighafi za Tanzania........mlikataa na korosho sasa zitaendelea kuoza jiwe azile juu alikua anajiona ako na akili Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora ziharibike kuliko kuwauzia ninyi, ninyi ardhi yenu yote mliwapa wazungu walime chai na maua, mlitegemea Mali ghafi ya viwanda vyenu itoke wapi?, mtajua kwamba Tanzania ndio tegemezi lenu.
Uhuru Kenyatta anasema kiwanda kitatoa ajira 3000, sijasikia akisema wapi atapata pamba, ndani ya mwaka mmoja hicho kiwanda kitafungwa. Lazima mje kutupigia magoti, lazima mkubali kwamba Tanzania ndio uhai wenu.Kenya ndio alpha na omega kwa malighafi za Tanzania........mlikataa na korosho sasa zitaendelea kuoza jiwe azile juu alikua anajiona ako na akili Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The plans to give farmers seeds and training in over 24 counties is under way.Uhuru Kenyatta anasema kiwanda kitatoa ajira 3000, sijasikia akisema wapi atapata pamba, ndani ya mwaka mmoja hicho kiwanda kitafungwa. Lazima mje kutupigia magoti, lazima mkubali kwamba Tanzania ndio uhai wenu.
ardhi gani baba? kenya hakuna ardhi ya kilimo..yote ni mburoti maguta magutaThe plans to give farmers seeds and training in over 24 counties is under way.
kuna wakulima wa pamba tayari lakini miezi sita ijayo watakuwa maradufu
The plans to give farmers seeds and training in over 24 counties is under way.Uhuru Kenyatta anasema kiwanda kitatoa ajira 3000, sijasikia akisema wapi atapata pamba, ndani ya mwaka mmoja hicho kiwanda kitafungwa. Lazima mje kutupigia magoti, lazima mkubali kwamba Tanzania ndio uhai wenu.
buda, shamba ziko tena kubwa sanaardhi gani baba? kenya hakuna ardhi ya kilimo..yote ni mburoti maguta maguta
Miafrika mnapenda kuleta wenzenu chini sana sana yani "pull him down".Maendeleo Kenya inawauuma sana Jiwe na Geza Ulole...haya basi ngoja tufurahie Mchina akiwadhulumu waTz weusi huko kwenu.Uhuru Kenyatta anasema kiwanda kitatoa ajira 3000, sijasikia akisema wapi atapata pamba, ndani ya mwaka mmoja hicho kiwanda kitafungwa. Lazima mje kutupigia magoti, lazima mkubali kwamba Tanzania ndio uhai wenu.
Ivi wewe ni mkenya au mtz????? Jaluo au kikuyu..ardhi gani baba? kenya hakuna ardhi ya kilimo..yote ni mburoti maguta maguta
Ungemalizia apo kwa wakulima wetu, this guys are LAZY and you know better.Daily nation Tuesday I think wanakodisha wakenya mashamba walime vitunguu na wawaexportie Kenya.Bure kabisa!Hii safi sana ni fursa nzuri kwa wakulima wetu, pia majirani huu ndio muda muafaka wa kuchangamkia fursa.
Sio wanakodishia Wakenya, ni Wakenya wanakuja Tanzania kununua kutoka kwa wakulima wa Tanzania, wewe mkenya huwezi kulima Tanzania.Ungemalizia apo kwa wakulima wetu, this guys are LAZY and you know better.Daily nation Tuesday I think wanakodisha wakenya mashamba walime vitunguu na wawaexportie Kenya.Bure kabisa!
Kwanini msizalishe chakula kwanza wakati wakenya wanakufa kila mwaka kama Shamba zipo?, au pamba ni muhimu kuliko mahindi?.The plans to give farmers seeds and training in over 24 counties is under way.
kuna wakulima wa pamba tayari lakini miezi sita ijayo watakuwa maradufu
buda, shamba ziko tena kubwa sana
Tangu mlipowaacha waafrica wenzenu walipokua wanauliwa na wazungu kusini mwa Africa, ninyi mkawakumbatia wazungu kwa sababu za kiuchumi, hakuna nchi yoyote ya kiafrica itakayoiamini Kenya.Miafrika mnapenda kuleta wenzenu chini sana sana yani "pull him down".Maendeleo Kenya inawauuma sana Jiwe na Geza Ulole...haya basi ngoja tufurahie Mchina akiwadhulumu waTz weusi huko kwenu.
Ungemalizia apo kwa wakulima wetu, this guys are LAZY and you know better.Daily nation Tuesday I think wanakodisha wakenya mashamba walime vitunguu na wawaexportie Kenya.Bure kabisa!