Bongo changamkieni nafasi hii

Bongo changamkieni nafasi hii

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Wakulima wa pamba Tanzania, kiwanda hiki kinahitaji pamba tonne nyingi sana kwa mwaka,
Hii ni soko kubwa kwa wakulima Africa mashariki kuuza mazao yao.

Rais Uhuru amezidua kiwanda hiki upya , ukulima wa Pamba kenya ulididimia miaka ya 90s baada ya viwanda vingi kuporomoka.

Saa hii kuna demand kubwa kabla wakulima Kenya warudi kwenye ukulima huu.

Karibuni Rivatex Kenya

1133716

1133715

1133717

1133714

1133713

1133711

1133718

1133689
1133690

1133691

1133692

1133693
 
Attachments

  • 1561136049593.png
    1561136049593.png
    393.1 KB · Views: 21
korosho zinaharibikia ikulu kwa magu na hapa unajigamba
Bora ziharibike kuliko kuwauzia ninyi, ninyi ardhi yenu yote mliwapa wazungu walime chai na maua, mlitegemea Mali ghafi ya viwanda vyenu itoke wapi?, mtajua kwamba Tanzania ndio tegemezi lenu.
 
Kenya ndio alpha na omega kwa malighafi za Tanzania........mlikataa na korosho sasa zitaendelea kuoza jiwe azile juu alikua anajiona ako na akili Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uhuru Kenyatta anasema kiwanda kitatoa ajira 3000, sijasikia akisema wapi atapata pamba, ndani ya mwaka mmoja hicho kiwanda kitafungwa. Lazima mje kutupigia magoti, lazima mkubali kwamba Tanzania ndio uhai wenu.
 
The plans to give farmers seeds and training in over 24 counties is under way.
kuna wakulima wa pamba tayari lakini miezi sita ijayo watakuwa maradufu
 
ardhi gani baba? kenya hakuna ardhi ya kilimo..yote ni mburoti maguta maguta
buda, shamba ziko tena kubwa sana
 
Uhuru Kenyatta anasema kiwanda kitatoa ajira 3000, sijasikia akisema wapi atapata pamba, ndani ya mwaka mmoja hicho kiwanda kitafungwa. Lazima mje kutupigia magoti, lazima mkubali kwamba Tanzania ndio uhai wenu.
Miafrika mnapenda kuleta wenzenu chini sana sana yani "pull him down".Maendeleo Kenya inawauuma sana Jiwe na Geza Ulole...haya basi ngoja tufurahie Mchina akiwadhulumu waTz weusi huko kwenu.
 
Hii safi sana ni fursa nzuri kwa wakulima wetu, pia majirani huu ndio muda muafaka wa kuchangamkia fursa.
Ungemalizia apo kwa wakulima wetu, this guys are LAZY and you know better.Daily nation Tuesday I think wanakodisha wakenya mashamba walime vitunguu na wawaexportie Kenya.Bure kabisa!
 
Sio wanakodishia Wakenya, ni Wakenya wanakuja Tanzania kununua kutoka kwa wakulima wa Tanzania, wewe mkenya huwezi kulima Tanzania.

Msingekufa na njaa to this century, tunawalisha sisi ndio maana tutawapa metrics tonnes of maize 1 million in a formal way, achana na hundreds of thousands zinazoingia daily through traders.
 
The plans to give farmers seeds and training in over 24 counties is under way.
kuna wakulima wa pamba tayari lakini miezi sita ijayo watakuwa maradufu

buda, shamba ziko tena kubwa sana
Kwanini msizalishe chakula kwanza wakati wakenya wanakufa kila mwaka kama Shamba zipo?, au pamba ni muhimu kuliko mahindi?.

Ninyi wakenya mpo na shida kwa kichwa, tunapowasema kwanini nchi yenu haiwezi kujitosheleza kwa chakula, mnasema hamna ardhi ya kutosha kwasababu robo tatu ya nchi yenu ni jangwa, Leo tunawauliza mtapata wapi pamba, mnasema mtazalisha kwasababu ardhi ipo. Failed state.
 
Miafrika mnapenda kuleta wenzenu chini sana sana yani "pull him down".Maendeleo Kenya inawauuma sana Jiwe na Geza Ulole...haya basi ngoja tufurahie Mchina akiwadhulumu waTz weusi huko kwenu.
Tangu mlipowaacha waafrica wenzenu walipokua wanauliwa na wazungu kusini mwa Africa, ninyi mkawakumbatia wazungu kwa sababu za kiuchumi, hakuna nchi yoyote ya kiafrica itakayoiamini Kenya.
 
Ungemalizia apo kwa wakulima wetu, this guys are LAZY and you know better.Daily nation Tuesday I think wanakodisha wakenya mashamba walime vitunguu na wawaexportie Kenya.Bure kabisa!

By the way kuna Wakenya wengi wamekodi mashamba ya hawa jamaa maana wenyewe hawawezi kulima, hataa ndio maana kukawa na tatizo wakati wa kulipa korosho, maana wamiliki wa hayo mashamba walikua wameyakodisha karibu yote kwa mfumo unaoitwa kagomba, yaani uzembe kupita maelezo.
 
Back
Top Bottom