Bongo Don na dawa haitoniletea madhara?

Bongo Don na dawa haitoniletea madhara?

Kunywa tu ukiwa na bahati utaamkia dunia nyingine kule foot sita ardhini.

Kamujlize hata muuza pharmacy atakusaidia jibu la kitaalamu
 
Wadau jana kwenye mida ya saa 2 usiku nilitumia Bongo Don na Azam Energy ila leo nataka nitumie cetrizine

Naomba kuuliza haitoniletea madhara?
Pole mnaojisumbuwa kupiga energy et mkijidnganya inawapa power ktk tendo.Kifupi madhara ya energy mengi.Nashaur acha hiyo.
 
Wabongo bana, jamaa kauliza baada ya kunywa hizo 'sumu' anataka kumeza vidonge nadhani ni kwa sababu ya kuwa na homa au mafua, sasa kuna madhara yoyote atapata?.

Ndivyo nimeelewa!.
 
Kuna siku nilikunywa konyagi kubwa...halafu tumbo likaanza kuuma nikanywa secnidazole aisee ule mziki sitausahau
 
Wabongo bana, jamaa kauliza baada ya kunywa hizo 'sumu' anataka kumeza vidonge nadhani ni kwa sababu ya kuwa na homa au mafua, sasa kuna madhara yoyote atapata?.

Ndivyo nimeelewa!.
Yah ndo ivyo boss maana nina mafua ila nashangaa najibiwa vitu vingi😀😀na theories kibao
 
Back
Top Bottom