Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

Hii battle mnashindanisha ufupi wa Wenyeviti wao wa serikali ya mitaa wanakoishi au?
 
I'm old school pia.
Na ni WCB fan wa kindakindaki kabisa.
Ila Mario ni mwanamuziki mahiri kuliko Rayvanny.
 
Nafkiri leo mmeona ukubwa wa marioo kwenye simba Day..
Kuna tahira mmoja likasema eti marioo ni underground..!

Angeitwa mnyakyusa angeimba nini na kumuamsha nani? Eti "wanaweweseka"[emoji3][emoji3][emoji3]
Qwy we chawa umesikia?
Ukiwa chawa(puppet) usichanganye watu wote, looking for cheap loophole unajifanya haujui kama waliendea Simba day.
Mkojani pia aliamsha tena zaidi ya artists wote pale hivyo kwa kigezo chepesi kama hicho basi na Mkojani ni muimbaji maarufu.
 
Mtu anayemwita Marioo underground ni mpumbavu mkubwa..
Mpumbavu ni wewe na ukoo wako wote, kila mtu ana categorize artists kwa mtazamo wake.
It's a free world.
 
[emoji817][emoji3581]
 
Kuwaka kama moto wa makaratasi na ku'maintain kuwa katika peak kwa miaka ni vitu viwili tofauti kabisa, in few years to come hii thread itaonekana kama kituko.
 
Poa kachukue malipo ya vocha sasa.
Different people with different opinions, kama yeye analipwa basi nawe unalipwa na kama yeye ni chawa na wewe ni chawa wa upande mwingine.
You're just fans who support different artists, nothing more nothing less.
 
Rayvanny career yake ni kubwa kuliko Marioo, hebu tusubiri miaka 2 mbele tuone
 
Reactions: Qwy
Ajabu na kweli yani Marioo awe mkali kuzidi Vanny boy?? Jamaa anajui kuimba sawa ana ngoma kali sawa lakini kwa vanny bado kijana mdogo sana yani vanny huyu mwenye hit song inavuma mpaka ulaya umuweke na Marioo sio sawa.
Tuache kuwafananisha kila mtu afanye mziki wake marioo kufika hata robo ya vanny bado.
 

Marioo ni fire
 
Kwangu mimi Mario anakipaji sana kuliko Rayvany sema tu watanzania hatumzingatii, beer tamu, kwa raha
#Arovera umemaliza kila kitu bia tamu, kila nikiisikiliza hii ngoma nakumbuka enzi zile za dude lingine LA tilalila by Mr blue aeiceeee bs ngoja tunywe bia
 

Vanny boy ana balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…