snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Hii battle mnashindanisha ufupi wa Wenyeviti wao wa serikali ya mitaa wanakoishi au?Mkuu umekurupuka kuja kuchangia hoja.
Hebu rudi isome title ya huu uzi, poa soma kidogo maelezo ya mtoa uzi. Hapa tunazungumzia battle kati ya Raybann na Marioo.
Shida yenu mnakuja kiushabiki. Hata kama tungesema mziki mzuri bado tu marioo hamuwezi Ray. Kama huamini mimi nakupa miaka 15, huyo marioo apate mashabiki wengi watakao kubali mziki wake amzidi Vann.
MODS PLEASE MTUSAIDIE KUUTUNZA HUU UZI. MIAKA 15 IJAYO TURUDI KUULIZANA MASWALI HAPA.
Tena ngoja ni subscribe kabisa ni save poa kwenye bookmark. Na link nitaisave sehemu amabyo haitapotea.