Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Mtu anayemwita Marioo underground ni mpumbavu mkubwa..Nafkiri leo mmeona ukubwa wa marioo kwenye simba Day..
Kuna tahira mmoja likasema eti marioo ni underground..!
Angeitwa mnyakyusa angeimba nini na kumuamsha nani? Eti "wanaweweseka"[emoji3][emoji3][emoji3]
Qwy we chawa umesikia?