Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

Nafkiri leo mmeona ukubwa wa marioo kwenye simba Day..
Kuna tahira mmoja likasema eti marioo ni underground..!

Angeitwa mnyakyusa angeimba nini na kumuamsha nani? Eti "wanaweweseka"[emoji3][emoji3][emoji3]
Qwy we chawa umesikia?
Mtu anayemwita Marioo underground ni mpumbavu mkubwa..
 
Rayvanny mpk amfikie Mario kimuziki sio leo.

Kuanzia mashairi
Beats
Melodies
Na kila kitu tu kwa ujumla, sio leo na tu haitakuwa.
We Mario Mwanamuziki wewe.
 
Sijaona talent kwa marioo, bado sana. Tena sana. Sishangai bongo kuwa na hizi battle za kishamba. Msanii mkubwa kulinganishwa na wadogo ili kumshushA. Wakati flani Aslay aliwahi linganishwa na Diamond, walipochemka wakaanza Marioo napo wakachemka. Ikabidi waendelee na Kiba ambaye ndio kabisa alichemka
Kwani tunatizama miaka kuwepo kwenye muziki au vigezo gani Mkuu?

Muziki mzuri una sifa zifuatazo.
Maneno
Melodies
Upangiliaji wa sauti
Uimbaji
Nk.
Vyote hivyo nyimbo za Mario zinazo.
Rayvanny anakosa vitu flan kwenye hivi.
 
Acha wajifurahishe...ila Marioo bado underground akue kwanza ndio tumpime.
Hahahahhaha kama ni Underground na ndo ana nyimbo NATIONAL anthem hiiivi.

'RAHA"
"MAMA AMINA"
"BEER TAMU"

Zote kali, na underground wake akifika kuwa sio underground itakuwa Balaa basi.
 
Rayvany anamshinda Marioo vitu vitatu. Kurembua, kusuka kike kike na kuvaa nguo za marangi rangi za kinyakyusa
Wanyakyusa tumewakosea nini [emoji1][emoji1]
 
Tukiachana na ushabiki ,mario ana kipaji Ila Hana utunzi mzuri, nyimbo nyingi za hovyo hovyo ....!! Nyimbo zilizotambaa kama Moto wa kifuu ni chibonge pamoja na Dar kugumu , nyimbo zingine za marioo ni za hovyo hovyo tuu na kumvimbisha kichwa ...Rayvanny hitsong nyingi , halafu ni upumbavu mkubwa kumringanisha Rayvanny na marioo ifikie hatua watu wapewe heshima Yao kwenye mziki
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kwani tunatizama miaka kuwepo kwenye muziki au vigezo gani Mkuu?

Muziki mzuri una sifa zifuatazo.
Maneno
Melodies
Upangiliaji wa sauti
Uimbaji
Nk.
Vyote hivyo nyimbo za Mario zinazo.
Rayvanny anakosa vitu flan kwenye hivi.
Mkuu umekurupuka kuja kuchangia hoja.

Hebu rudi isome title ya huu uzi, poa soma kidogo maelezo ya mtoa uzi. Hapa tunazungumzia battle kati ya Raybann na Marioo.

Shida yenu mnakuja kiushabiki. Hata kama tungesema mziki mzuri bado tu marioo hamuwezi Ray. Kama huamini mimi nakupa miaka 15, huyo marioo apate mashabiki wengi watakao kubali mziki wake amzidi Vann.

MODS PLEASE MTUSAIDIE KUUTUNZA HUU UZI. MIAKA 15 IJAYO TURUDI KUULIZANA MASWALI HAPA.

Tena ngoja ni subscribe kabisa ni save poa kwenye bookmark. Na link nitaisave sehemu amabyo haitapotea.
 
Pia cha kuwasaidia ninyi mashabiki uchwara ni kuwa kazi ya msanii ni kuelimisha na kuburudisha.

Kwetu bongo, siku hizi hakuna msanii anaetoa elimu. Enzi hizo akina afande sele walijitahidi but now days ni birudani tu. Sasa unaleta habari za mziki mzuri wakati hata huyo Marioo akifanya shoo ya kiingilio buku3 huingii. Lakini huyo unayesema hana uimbaji mzuri akifanya kwa 100k unaingia.

Unadhani kwanini unaenda/unaingia? Kwa kuwa anaweza kukufanya ukaburudika na mziki mzuri.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Tukiachana na ushabiki ,mario ana kipaji Ila Hana utunzi mzuri, nyimbo nyingi za hovyo hovyo ....!! Nyimbo zilizotambaa kama Moto wa kifuu ni chibonge pamoja na Dar kugumu , nyimbo zingine za marioo ni za hovyo hovyo tuu na kumvimbisha kichwa ...Rayvanny hitsong nyingi , halafu ni upumbavu mkubwa kumringanisha Rayvanny na marioo ifikie hatua watu wapewe heshima Yao kwenye mziki
Ila hii ya mnyakyusa "wanaweweseka" ni nyimbo nzuri na inafundisha? Sawa chawa
 
Nina 43...na ni old school..rayvany ni mnyama, msanii mara mbili yuko mbali sana na wasanii wenzie....huyo marioo ni mdogo na wala simjui ....!
ila nikasikiliza ile nyimbo na darasa... nikaona kama uchawi.
nimekubali na kukubaliana kwamba..marioo ni smart na rayvanny ni second hand haingii...kiustaarabu tukubaliane..
.
.
 
Kuingia wewe na chawa wenzio ndio unatujumuisha na sisi?

Umedata nini?
Ofcouse kuingia muhimu. Maana jamaa akiimba unaburudika. Unaweza kucheza pia. Kama Marioo kawatuma mwambie bado sana. Me namchulia kam underground tu. Level zake ni kina beka flavour, bright na siyo Rayvann.
 
Poa kachukue malipo ya vocha sasa.
 
Nina 43...na ni old school..rayvany ni mnyama, msanii mara mbili yuko mbali sana na wasanii wenzie....huyo marioo ni mdogo na wala simjui ....!
ila nikasikiliza ile nyimbo na darasa... nikaona kama uchawi.
nimekubali na kukubaliana kwamba..marioo ni smart na rayvanny ni second hand haingii...kiustaarabu tukubaliane..
.
.
Umekubali Marioo ni noma sio??..Safi.
 
Poa kachukue malipo ya vocha sasa.
Za nini mkuu, mziki ni burudani na ndo kazi ya msanii. Lakini kama unakalia kusema anajua huku hujawahi kumpa hata support...

Saiv kuna wimbo flani ray kashilikishwa na mdada, unaitwaje sijui but naskia wakisema jennifer, asee Vann anajua.
 
Back
Top Bottom