Huyu bidada kwenye hii alijua kunivuruga!, lala salama huko ulipo!.
View attachment 3293184
Hii R&B hapa bongo binafsi kwangu ndio best R&B ever!, mpaka sasa sijaona mpinzani kuanzia beat mpaka mashairi heko kwako kabaisa.
View attachment 3293185
Hehe!, Huyu mwamba na hii ngoma yake aliifanyia haki stahiki haichuji ni utachuja umri tu ila sio ngoma..😅
View attachment 3293190
Huyu mwamba sijui alikimbilia wapi ila hii ngoma kila nikiisikiliza ni kama imetoka leo!.
View attachment 3293191
Huu unanipeperusha nakunufanya nijione nipo mwenyewe kwenye hii dunia hapo nikifumba macho ni kama naona kiuno chake kinavyohurujika...😂
View attachment 3293193
Playlist yangu ya leo ni hiyo vipi wewe zakitambo zako za mapenzi ni zipi..?