Bongo Fleva na ushirikina

Inawezekana kweli kwani kuna member humu JF aliwahi kuleta uzi kuhusu Mr Nice kushuka kimuziki kumbe alikosea masharti
 
Kwa hiyo domo na Kiba wanakula mama zao?
 
Sio tu wasanii hata wew meneja ili msanii wako ashine lazima uliwe chijo kama yule mbunge..............
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumekuchaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani hamuelewi. Shida ipo kwenye kulipa ‘ ukitaka cha bure lazima uliwe’ sasa kama una hela ya kulipia video, lipia producer lipia interview haya hayawezi kukutokea. Shida ni watu wanapenda vya bure!!!!! Wasanii hawajaiheshimisha sanaa, heri sasa hivi serikali inakopesha wasanii ili walipie servicea wasijidhalilishe. Hio kudhalilishwa ni sababu ya bure.tukimwangalia mtu kama Abby chams ambae wazazi ndo wameinvest hawezi pitia haya mnayosema, au Nandy ambae bwana wake ‘ Ruge’ ndo aliinvest kwake…. Mchawi ni pesa. Ukitaka kitu, kigharamie
 
Muziki wa injili ni haramu ila kaswida ni halali.
Mnafira tutoto tudogo madrasa na mmehalalisha, masheitwani wakubwa nyie
 
Sio tu wasanii hata wew meneja ili msanii wako ashine lazima uliwe chijo kama yule mbunge..............

😂

Kumbe ndio maana ile mbuzi ina maneno ya taarabu sana pamoja na kuwa na ubunge wa kupewa...
 
bongo bahati mbaya sana, ushirikina hauwezi kumfanya mtu kuwa tajiri na maarufu.
 
bongo bahati mbaya sana, ushirikina hauwezi kumfanya mtu kuwa tajiri na maarufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…