Salaam!
Ndugu nawaletea ushuhuda wenye 100% ,mwaka jana katika pita pita za kutafuta maisha nikaamua nijiweke kwenye umeneja wa wanamziki ,nkazama mtaani nkaibua vipaji viwili ,ilikuwasapoti kwanza nikawapa nyumba ya kuishi tegeta ni ya kaka yangu yuko nje na huwa hataki ipangishwe ,nikawapiga bajeti ya viwalo na kuwaunga kwa master mmoja awanoe ukweli sikuwa na haraka niliwaweka kambi 5 months nalipia kila kitu nkawalipia na gym (ni muhimu kwa masauti) wa kwanza nikamtoa ana kawimbo maarufu staki mkajue kalipata youtube viewers laki 5 bila kuhonga .
ili kuokoa muda dogo alianza ulevi kiburi mpaka sasa ni teja 100%,sikukata tamaa nikajikita kwa huyu wa pili maana ndo anakipaji mboso anasubiri,huyu dogo kuna siku ghafla alinambia kaka naomba tukae kikao nikuambie ukweli.
Nilichoka akanieleza kaka narudia uislamu wangu ananiambia kama unataka umuone shetani live nenda kwenye bongofleva yaani hakuna narudia HAKUNA asie mshirikina yaani wanalala kwa waganga masharti wanayopewa:
1. kulala na mama zao wazazi
2.kuliwa tigo ,yaani hii 80% ya wote wanaliwa ,ipo lebo msanii mmoja alijitoa na hasira juu ni mweusi jamaa alikataa kuliwa na mwenye lebo,mpaka nikaelewa kumbe P DIDDY sio kuwa alikuwa anawakomoa au anawatamani ni masherti ya ili uwe maarufu na ushine .
3.Kukataliwa kuoa ,tunajiuliza mbona vijana wa mziki wanakimbia ndoa kumbe wanapewa mke wa kijini kwanza ambae sharti lake lazima ulale nae yeye kwa hiyo hata hao wapenzi hawaishi nao wanakaa wenyewe .
4.Hata yule msanii wangu wa kwanza ni kwamba wamemuibia nyota alizubaa
UJUMBE KWA WAZAZI
Kataa mwanao asijihusishe na bongo flava aidha kibaya sana ni kwamba mpaka waimbaji wa injili nao wanakesha kwa waganga ,mmoja kijana anapanki yeye kaambiwa lazima ale jicho mtu kila siku flani ya wiki mpya yaani anateseka sana kasha zurura na malaya wote ,pia na yeye lazima agongwe ukitajiwa na alivo na mziki wa baraka huwezi amini,sasa nimeamini waislamu kuwa MUZIKI NI KHARAMU