Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Baba levo hana usanii wowoteNawajua wachache sana pengine wengi wao vibao vyao nimevisikia nisijue Nan kaimba,
Kina baba levo jee 🤔
Ni kweli mkuu. Siku hizi wanaimba porn flavour.Daah Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani cheki list ya vipaji hivyo yaani mtaani kulikuwa hakupoi
1-juma nature
2-Q chillah
3-ferouz
4-Lady jay dee
5-professor jay
6-ngwear
7-jay moe
8-chege
9-dully Sykes
10-ray c
11-stara Thomas
12-T.i.d
13-mr blue
14-Fid Q
15-afande sele
16-mandojo&domo kaya
17-banana Zoro
18-daz baba
19-Ay&FA
20-mr nice
21-mez b
22-Gk
23-noorah
24-biz man
25-Temba
26-madee
27-tunda
28-kassim mganga
29-mb doggy
30-Z anto
31-matonya
32-joslin
33-Q jay
34- makamua
35-raha p
36-squeezer
37-dataz
38-2 berry
39-Langa
40-Geez mabovu
41- sugu
42- akili ze brain
43- tholo thang
44- inspector horoun
45-john walker
46-rado
47-kR
48-nako 2 nako
49-kikosi Cha mizinga
50-chid benz
51-suma lee
52-izzo b
Hicho ndo Kizazi Bora Cha mziki Cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru.yaani vipaji vilikuwa halisia sio haya mandegesule ya sasa hivi
Kiukweli mm baba levo nimemjua Juzi 2020 alivyo kuwa wasafi FM, na nikaambiwa ni msanii 🤔Baba levo hana usanii wowote
Aisee kuna wimbo fulani kwenye kuimba kuna maneno "nimedharauliwa sana" wimbo huo unataka kufanana na ule wa "namzimia kikongwe" wa yule sijui nani huu wimbo nilikuwa nausikia 2004 nadhani nilipokuwa naenda kula gambe kwenye bar fulani,anaweza akawa ameimba naniDaah Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani cheki list ya vipaji hivyo yaani mtaani kulikuwa hakupoi
1-juma nature
2-Q chillah
3-ferouz
4-Lady jay dee
5-professor jay
6-ngwear
7-jay moe
8-chege
9-dully Sykes
10-ray c
11-stara Thomas
12-T.i.d
13-mr blue
14-Fid Q
15-afande sele
16-mandojo&domo kaya
17-banana Zoro
18-daz baba
19-Ay&FA
20-mr nice
21-mez b
22-Gk
23-noorah
24-biz man
25-Temba
26-madee
27-tunda
28-kassim mganga
29-mb doggy
30-Z anto
31-matonya
32-joslin
33-Q jay
34- makamua
35-raha p
36-squeezer
37-dataz
38-2 berry
39-Langa
40-Geez mabovu
41- sugu
42- akili ze brain
43- tholo thang
44- inspector horoun
45-john walker
46-rado
47-kR
48-nako 2 nako
49-kikosi Cha mizinga
50-chid benz
51-suma lee
52-izzo b
Hicho ndo Kizazi Bora Cha mziki Cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru.yaani vipaji vilikuwa halisia sio haya mandegesule ya sasa hivi
Alikuwa diwani asee watu wana mzaha sana maishaNawajua wachache sana pengine wengi wao vibao vyao nimevisikia nisijue Nan kaimba,
Kina baba levo jee 🤔
Hahahaha wapi huko mzee na kipindi gani ?Alikuwa diwani asee watu wana mzaha sana maisha
Kiukweli mm baba levo nimemjua Juzi 2020 alivyo kuwa wasafi FM, na nikaambiwa ni msanii
Ukutane na hiyo list pale Leaders lzm pakucheDaah Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani cheki list ya vipaji hivyo yaani mtaani kulikuwa hakupoi
1-juma nature
2-Q chillah
3-ferouz
4-Lady jay dee
5-professor jay
6-ngwear
7-jay moe
8-chege
9-dully Sykes
10-ray c
11-stara Thomas
12-T.i.d
13-mr blue
14-Fid Q
15-afande sele
16-mandojo&domo kaya
17-banana Zoro
18-daz baba
19-Ay&FA
20-mr nice
21-mez b
22-Gk
23-noorah
24-biz man
25-Temba
26-madee
27-tunda
28-kassim mganga
29-mb doggy
30-Z anto
31-matonya
32-joslin
33-Q jay
34- makamua
35-raha p
36-squeezer
37-dataz
38-2 berry
39-Langa
40-Geez mabovu
41- sugu
42- akili ze brain
43- tholo thang
44- inspector horoun
45-john walker
46-rado
47-kR
48-nako 2 nako
49-kikosi Cha mizinga
50-chid benz
51-suma lee
52-izzo b
Hicho ndo Kizazi Bora Cha mziki Cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru.yaani vipaji vilikuwa halisia sio haya mandegesule ya sasa hivi
Kikongwe - PiccoAisee kuna wimbo fulani kwenye kuimba kuna maneno "nimedharauliwa sana" wimbo huo unataka kufanana na ule wa "namzimia kikongwe" wa yule sijui nani huu wimbo nilikuwa nausikia 2004 nadhani nilipokuwa naenda kula gambe kwenye bar fulani,anaweza akawa ameimba nani
Sio bizman na wala sijamuulizia picco nimesema wimbo naoutafuta una mahadhi kama.yq wimbo wa piccoKikongwe - Picco
Huo mwingine nahisi ni bizman, alitolokwa na mkewe
SorrySio bizman na wala sijamuulizia picco nimesema wimbo naoutafuta una mahadhi kama.yq wimbo wa picco
Baba levo Msanij wa Zamani Sana Ukitoa Lists Bila ya Kumuweka Halafu ukamuweka Chege na Temba Ntakuona Una Nia Yako Mbaya..Baba levo hana usanii wowote