Aiylan wasalan
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,383
- 3,278
Sijamuona dada yangu K~lynn,Jay moe,Langa kileo Dah RIP…..Back in those Days…mimi nipo kizaz cha kati nimewaskia wq 2000s na nimewa enjoy sana wa2010s had 2020s.
Aiseee dah Dknob ile sautiiii basi tu😍Hakuna mashaka hawa waliimba nyimbo zinaishi kuna mwamba anaitwa D knob ongezea jina lake
Ngoma zake
Ingewezekana ungekua wangu
Sauti gharama
Kitu gani
Bad man nk
Kuna bwana misosi najiuliza nitoke vipi
Pia roma mkatoliki
Hapo anaingia q jay na chorus nomaAiseee dah Dknob ile sautiiii basi tu😍
🎶Sikiza mjomba waiter
Fanya kama unapita
Baada ya round ya sita
Ili Nikutume kwa yule sister
Mwenye tabasamu la picha
Na kiuno cha kuficha
Nishaona wake mzuka
Uuh ahhh..
Enzi hizo ndo muziki uliku mziki...njoo zama hizi sasa za Mondi na vijana wake, mtusi na fujo tupu!Daah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi:
Hicho ndo kizazi bora cha muziki cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru. Yaani vipaji vilikuwa halisia – sio haya mandegesule ya sasa hivi!
- Juma Nature
- Q Chillah
- Ferouz
- Lady Jay Dee
- Professor Jay
- Ngwear
- Jay Moe
- Chege
- Dully Sykes
- Ray C
- Stara Thomas
- T.I.D
- Mr Blue
- Fid Q
- Afande Sele
- Mandojo & Domo Kaya
- Banana Zorro
- Daz Baba
- AY & FA
- Mr Nice
- Mez B
- GK
- Noorah
- Biz Man
- Temba
- Madee
- Tunda
- Kassim Mganga
- MB Doggy
- Z Anto
- Matonya
- Joslin
- Q Jay
- Makamua
- Raha P
- Squeezer
- Dataz
- 2 Berry
- Langa
- Geez Mabovu
- Sugu
- Akili Ze Brain
- Tholo Thang
- Inspector Haroun
- John Walker
- Rado
- KR
- Nako 2 Nako
- Kikosi Cha Mizinga
- Chid Benz
- Suma Lee
- Izzo B
Piko anaitwa!!Aisee kuna wimbo fulani kwenye kuimba kuna maneno "nimedharauliwa sana" wimbo huo unataka kufanana na ule wa "namzimia kikongwe" wa yule sijui nani huu wimbo nilikuwa nausikia 2004 nadhani nilipokuwa naenda kula gambe kwenye bar fulani,anaweza akawa ameimba nani
Kaokoka now hataki kusikia habari za mziki tena!!!Aiseee dah Dknob ile sautiiii basi tu😍
🎶Sikiza mjomba waiter
Fanya kama unapita
Baada ya round ya sita
Ili Nikutume kwa yule sister
Mwenye tabasamu la picha
Na kiuno cha kuficha
Nishaona wake mzuka
Uuh ahhh..
Baba levo mzee wa mabwanga ukatuni mwingi kitamboKiukweli mm baba levo nimemjua Juzi 2020 alivyo kuwa wasafi FM, na nikaambiwa ni msanii 🤔
Nimefurahi kusikia kumbe alikuwa mwana kitamboBaba levo mzee wa mabwanga ukatuni mwingi kitambo
Yes Mkuu nimeona kaokoka bwana, Mungu ni mwema, sema ndo hivyo mziki wake ni ngumu kusahaulika.Kaokoka now hataki kusikia habari za mziki tena!!!
D knob ft mwasiti. NISHIKE MKONO. Kuna mahali anasema "kichwa kwenye bega langu, Ndinga tuki cruise down, Ni mshiko juu ya dashboard, traffic kuwa cool down......" Dah ! Kile kichwa nakielewaAiseee dah Dknob ile sautiiii basi tu😍
🎶Sikiza mjomba waiter
Fanya kama unapita
Baada ya round ya sita
Ili Nikutume kwa yule sister
Mwenye tabasamu la picha
Na kiuno cha kuficha
Nishaona wake mzuka
Uuh ahhh..
Nunua simu acha kutumia vitunza line.Mbn vibox
Dudubaya umemsahauDaah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi:
Hicho ndo kizazi bora cha muziki cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru. Yaani vipaji vilikuwa halisia – sio haya mandegesule ya sasa hivi!
- Juma Nature
- Q Chillah
- Ferouz
- Lady Jay Dee
- Professor Jay
- Ngwear
- Jay Moe
- Chege
- Dully Sykes
- Ray C
- Stara Thomas
- T.I.D
- Mr Blue
- Fid Q
- Afande Sele
- Mandojo & Domo Kaya
- Banana Zorro
- Daz Baba
- AY & FA
- Mr Nice
- Mez B
- GK
- Noorah
- Biz Man
- Temba
- Madee
- Tunda
- Kassim Mganga
- MB Doggy
- Z Anto
- Matonya
- Joslin
- Q Jay
- Makamua
- Raha P
- Squeezer
- Dataz
- 2 Berry
- Langa
- Geez Mabovu
- Sugu
- Akili Ze Brain
- Tholo Thang
- Inspector Haroun
- John Walker
- Rado
- KR
- Nako 2 Nako
- Kikosi Cha Mizinga
- Chid Benz
- Suma Lee
- Izzo B
Kikubwa mawasiliano, ukiwa na visivyo tunza line ni khery kwakoNunua simu acha kutumia vitunza line.
Mziki mzuri kweli kwenye playlist yangu nyimbo zake nnazo!!Yes Mkuu nimeona kaokoka bwana, Mungu ni mwema, sema ndo hivyo mziki wake ni ngumu kusahaulika.
Sasa usituulize ivo vibox vinamaanisha nnKikubwa mawasiliano, ukiwa na visivyo tunza line ni khery kwako
Umeshinda mzeeSasa usituulize ivo vibox vinamaanisha nn
😃🤝Umeshinda mzee
Sio kweli, nakula chupa nyingine mpaka nazima kila sikuKuna msanii aliitwa mchizi mox alivuma sana huu mwaka 2004 ila akaja kuzima kama mshumaa