Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Kaka man
Lutein karama
Mansu li
Mc babu ayubu
Mac dizzo
Ebby skills
Voice wonder
Mr nice
Mr Paul
K basil
Pauline zongo (teja kwa sasa)
D knob
caz-t
Jackie Marie
 
Daah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi:
  1. Juma Nature
  2. Q Chillah
  3. Ferouz
  4. Lady Jay Dee
  5. Professor Jay
  6. Ngwear
  7. Jay Moe
  8. Chege
  9. Dully Sykes
  10. Ray C
  11. Stara Thomas
  12. T.I.D
  13. Mr Blue
  14. Fid Q
  15. Afande Sele
  16. Mandojo & Domo Kaya
  17. Banana Zorro
  18. Daz Baba
  19. AY & FA
  20. Mr Nice
  21. Mez B
  22. GK
  23. Noorah
  24. Biz Man
  25. Temba
  26. Madee
  27. Tunda
  28. Kassim Mganga
  29. MB Doggy
  30. Z Anto
  31. Matonya
  32. Joslin
  33. Q Jay
  34. Makamua
  35. Raha P
  36. Squeezer
  37. Dataz
  38. 2 Berry
  39. Langa
  40. Geez Mabovu
  41. Sugu
  42. Akili Ze Brain
  43. Tholo Thang
  44. Inspector Haroun
  45. John Walker
  46. Rado
  47. KR
  48. Nako 2 Nako
  49. Kikosi Cha Mizinga
  50. Chid Benz
  51. Suma Lee
  52. Izzo B
Hicho ndo kizazi bora cha muziki cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru. Yaani vipaji vilikuwa halisia – sio haya mandegesule ya sasa hivi!
Kuna macDizzo,Mnyalu sijawaona hapa kwenye list
 
KR walitoa ya leo kali ilikuwa mwaka 2000 na kundi la wachuja nafaka kabla hata ya kuudwa TMK

KR wasiku nyingi sana, alikiba ametoa hit song mwaka 2006 cinderela kabla ya hapo alikuwa anajitafuta
Alikiba Nyimbo ya Kwanza Ilikuwa Mwaka 2002 inaitwa Maria alishirkishwa na Abbyskills na Mr Blue..
KR Ameanza Miaka Ya 90 baada ya Makundi kuvunjika Kama Gangwe MOB lile la Kina Luteni karama na Wachuja Nafaka Na DMW ndo Likaundwa Kundi Linaitwa TMK wanaume Family mwaka 2004 ...
Kr Alikuwa Bado hasikiki Japo alikuwa anaimba Na Alifahamika Tangu Mwaka 1997
 
Ya leo kali kr ameimba vizuri sana unasema alikuwa hasikiki haupo serious
 
Vipi kuhusu wimbo Wa Maria wa Mwaka 2003?
Na Nyimbo Kama Sikuoni Iliyotoka Mwaka 2004?
Maria alishirikishwa, sikuoni bado haikumtambulisha elewa alikiba nyimbo iliyomuweka kwenye ramani ya mziki watu wakamjua ni cinderela ya 2006

2004 nyimbo zilizohit sana ni mikasi, zile za mb dogg na Mr blue
 
Mr Ni Blue Ni Msanii Nyimbo Gani ya Mri Blue Ilihit usisahau Nyimbo ya blue Blue au Mr Blue Ilitoka Mwaka 2002 Na Sio 2004..
Na 2004 Nyimbo ya Mikasi ilikuwa Tayar imetoka mwaka 2003..

Na Kingine Sikuoni Haikumtambulisha Ila Ilikuwa Ni nyimbo Iluyohit sana na Ilitoka Kabla..

Sijui Kama Unaelewa Neno Kujulikana na Kumtambulisha?
 
Mr Ni Blue Ni Msanii Nyimbo Gani ya Mri Blue Ilihit usisahau Nyimbo ya blue Blue au Mr Blue Ilitoka Mwaka 2002 Na Sio 2004..
Na 2004 Nyimbo ya Mikasi ilikuwa Tayar imetoka mwaka 2003
Ndo mwaka ambao ziliivuma 2004 na ndo mwaka afande sele alipewa tuzo ya mfalme wa rhymes
 
Kwa maoni yangu . Diamond platnumz Ndiye baba wa muziki wa Tanzania (msanii bora wa kiume wa muda wote)
 
Back
Top Bottom