Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Hata muziki Wa Sasa hv una ubunifu mkubwa tu licha ya sampling Lakini mijitu ya zaman Kaz kujipakulia minyama tu tafkr waondo talented sana
 
Daah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi:
  1. Juma Nature
  2. Q Chillah
  3. Ferouz
  4. Lady Jay Dee
  5. Professor Jay
  6. Ngwear
  7. Jay Moe
  8. Chege
  9. Dully Sykes
  10. Ray C
  11. Stara Thomas
  12. T.I.D
  13. Mr Blue
  14. Fid Q
  15. Afande Sele
  16. Mandojo & Domo Kaya
  17. Banana Zorro
  18. Daz Baba
  19. AY & FA
  20. Mr Nice
  21. Mez B
  22. GK
  23. Noorah
  24. Biz Man
  25. Temba
  26. Madee
  27. Tunda
  28. Kassim Mganga
  29. MB Doggy
  30. Z Anto
  31. Matonya
  32. Joslin
  33. Q Jay
  34. Makamua
  35. Raha P
  36. Squeezer
  37. Dataz
  38. 2 Berry
  39. Langa
  40. Geez Mabovu
  41. Sugu
  42. Akili Ze Brain
  43. Tholo Thang
  44. Inspector Haroun
  45. John Walker
  46. Rado
  47. KR
  48. Nako 2 Nako
  49. Kikosi Cha Mizinga
  50. Chid Benz
  51. Suma Lee
  52. Izzo B
Hicho ndo kizazi bora cha muziki cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru. Yaani vipaji vilikuwa halisia – sio haya mandegesule ya sasa hivi!
Pasha umemshaau
 
Daah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi:
  1. Juma Nature
  2. Q Chillah
  3. Ferouz
  4. Lady Jay Dee
  5. Professor Jay
  6. Ngwear
  7. Jay Moe
  8. Chege
  9. Dully Sykes
  10. Ray C
  11. Stara Thomas
  12. T.I.D
  13. Mr Blue
  14. Fid Q
  15. Afande Sele
  16. Mandojo & Domo Kaya
  17. Banana Zorro
  18. Daz Baba
  19. AY & FA
  20. Mr Nice
  21. Mez B
  22. GK
  23. Noorah
  24. Biz Man
  25. Temba
  26. Madee
  27. Tunda
  28. Kassim Mganga
  29. MB Doggy
  30. Z Anto
  31. Matonya
  32. Joslin
  33. Q Jay
  34. Makamua
  35. Raha P
  36. Squeezer
  37. Dataz
  38. 2 Berry
  39. Langa
  40. Geez Mabovu
  41. Sugu
  42. Akili Ze Brain
  43. Tholo Thang
  44. Inspector Haroun
  45. John Walker
  46. Rado
  47. KR
  48. Nako 2 Nako
  49. Kikosi Cha Mizinga
  50. Chid Benz
  51. Suma Lee
  52. Izzo B
Hicho ndo kizazi bora cha muziki cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru. Yaani vipaji vilikuwa halisia – sio haya mandegesule ya sasa hivi!
Mr. Nice no. 1, Mr Ebbo
 
Umeelewa Nilichoandika?
Watu wengi Ambao Hawakuwa wafatiliaji wa Mziki wamekuja Kumuelewa Baba Levo baada ya Kukamatwa na Kupelekwa Polisi Akiwa Diwani kabla ya Kuanza Kutaniana na Msechu Mtandaoni na kuhamia Kutaniana na Shilole hatimaye kuja kwa Diamond..
Ndo Alipojizolea Umaarufu Mkubwa Kuliko Kipindi chote alipoanza Kuimba Mwaka 2004 Akitokea K-Town people au KP
Miaka ya nyuma msanii kutoka ilikuwa ni ngumu sana sasahivi social media zimesaidia sana
 
Aisee kuna wimbo fulani kwenye kuimba kuna maneno "nimedharauliwa sana" wimbo huo unataka kufanana na ule wa "namzimia kikongwe" wa yule sijui nani huu wimbo nilikuwa nausikia 2004 nadhani nilipokuwa naenda kula gambe kwenye bar fulani,anaweza akawa ameimba nani
Dudubaya
 
Jaffarai - Unapenda nini
Shaa na Witness na Langa Ile ngoma yao ya Unaniacha Hoi ilibamba Sana .
 
Back
Top Bottom