cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
HaswaaaaKisa amedumu sana anadhani hakuwepo,ndo mfalme bwana
HaswaaaaKisa amedumu sana anadhani hakuwepo,ndo mfalme bwana
Niko la 3Cinderella 2006/7,uko la pili, kweli kuna matoto humu,hapo nimemaliza chuo
😂😂😂😂 ila HMOoooh nimekumbuka, kumbe naongea na katoto ka elfu 2.
Ndio maana hujui usemalo. Nina uhakika asilimia kubwa hao niliowataja utakuwa unamjua Kasimu mganga tu, Marlaw, Mbdogg ,Z Anto huwajui
Taja nyimbo 5 za kila mmoja😂😂😂😂 ila HM
Ko baba wa Latifa, mpenzi wa jini, na mume wa Ritha siwajui?
Acha dharau Dogo.
Tuanzie hapa Kiba alikuwa king mwaka gani?Ambao alitoa hitsong kuliko Mbdog, kuliko Marlaw, Z Anto😂😂😂😂 ila HM
Ko baba wa Latifa, mpenzi wa jini, na mume wa Ritha siwajui?
Acha dharau Dogo.
Kama kawa song yake baba levo feat juma natureVuvuzela Baba levo mwamba ametoka mbali sana
Boomplay nimeangalia ili nipate playlist ya dj wa bongo alietengeneza ngoma za zamani cha ajabu hakuna mdauNipo nawasikiliza hawa jamaa Wakali KwanzaView attachment 3378269
Q Jay&Joslin kwa wakati wao ndiyo tukisema ni wabana pua but hawakuwazidi wa kizazi hiki.
Wyre kenya moja huyuHivi yule alioimba "chukii ndo nahisi" anaitwa nani
orodha haijakaa vema, kuna wengine umewaacha kama akina luteni karama, kali p, k basil, suma g na wengine wengi wa mwanzo. Kuna pia makundi umeayaachaAli kiba
Ni kwamba umemsahau au makusudi yako tyuuh?
Mfalme, The King. Ni lazima awepo hapo.
Haswaaaaorodha haijakaa vema, kuna wengine umewaacha kama akina luteni karama, kali p, k basil, suma g na wengine wengi wa mwanzo. Kuna pia makundi umeayaacha
Sasa hao wako wapii? Ni 👑 hadi leo anasumbua kwenye Game.Tuanzie hapa Kiba alikuwa king mwaka gani?Ambao alitoa hitsong kuliko Mbdog, kuliko Marlaw, Z Anto
Wee nae acha kuchosha bas, ni upuuzi gani huu.Taja nyimbo 5 za kila mmoja
🤣🤣🤣🤣. Umeshusha nyundo chap!Bolingo huyo
Hiyo ngoma nilikuwa naikubali sanaWyre kenya moja huyu
Halaf watu wa zaman cjui wanajikutaga wapoje"Nazama natoa nazama natoa" upuuzi uliwepo tangu zama hizo