Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Nyimbo Ya Kwanza Kutambilishwa Alikibwa alitambulishwa mwaka 2002 kwenye Nyimbo ya Abbyskills na Mr Blue Inaitwa Maria..
Baada ya hapo Akitoa Nyimbo zake miaka ya 2004 Na 2005 ya Kutosha tu
Nyimbo ya kwanza au wimbo wa kwanza? Oldskool gani unakuwa hivi mkuu?
 
Daah Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani cheki list ya vipaji hivyo yaani mtaani kulikuwa hakupoi
1-juma nature
2-Q chillah
3-ferouz
4-Lady jay dee
5-professor jay
6-ngwear
7-jay moe
8-chege
9-dully Sykes
10-ray c
11-stara Thomas
12-T.i.d
13-mr blue
14-Fid Q
15-afande sele
16-mandojo&domo kaya
17-banana Zoro
18-daz baba
19-Ay&FA
20-mr nice
21-mez b
22-Gk
23-noorah
24-biz man
25-Temba
26-madee
27-tunda
28-kassim mganga
29-mb doggy
30-Z anto
31-matonya
32-joslin
33-Q jay
34- makamua
35-raha p
36-squeezer
37-dataz
38-2 berry
39-Langa
40-Geez mabovu
41- sugu
42- akili ze brain
43- tholo thang
44- inspector horoun
45-john walker
46-rado
47-kR
48-nako 2 nako
49-kikosi Cha mizinga
50-chid benz
51-suma lee
52-izzo b

Hicho ndo Kizazi Bora Cha mziki Cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru.yaani vipaji vilikuwa halisia sio haya mandegesule ya sasa hivi
Hakuna mashaka hawa waliimba nyimbo zinaishi kuna mwamba anaitwa D knob ongezea jina lake
Ngoma zake
Ingewezekana ungekua wangu
Sauti gharama
Kitu gani
Bad man nk
Kuna bwana misosi najiuliza nitoke vipi
Pia roma mkatoliki
 
Vuvuzela Ilikuwa ya 2007 au 8 au na tisa kama Sikosei ..

Ila Clara ilikuwa 2003 ila sema tu amekuja Kutoka miaka ya 2020..

Na Zaidi alianza Kufahamika Baada ya Kujiunga na TMK wanaume Halisi
List bado, kama angekuwa fresh kama fresh ya bimbwi asingeweka list kama hii
 
Back
Top Bottom