Ndiyo kwani Kuna ubaya gani mzee ?We Sema tu Na Diamond ilikuwa juz juz
Afu naona mama mawigi anasema baba levo anamkandia mwanaye coyBaba Levo hana kipaji cha muziki ni comedian
Hata T.I.D nimemjua baada ya who passing btn my interview so ni kawaidaHata Mr Nice humjui mkuu, mbona kule kwenu kenya alitamba mno.
Alikuwa anapiga kelele au ali-rap !!Baba levo Msanij wa Zamani Sana Ukitoa Lists Bila ya Kumuweka Halafu ukamuweka Chege na Temba Ntakuona Una Nia Yako Mbaya..
Nyimbo Ya KwNza Ya Baba Levo Ilitoka mwaka 2003 Na Ilirekodiwa na Enriq Inautwa Clara
Hamna,huo wa dudu baya naujuaNahisi ni wimbo wa dudu baya unaitwa "...nakupenda tu vile ulivyo nakupenda tu..."
We soma vitabu vya biology,KR kaanza muziki 1992 Ali kiba akiwa na miaka minneHukamuweka Alikiba ambaye kaanza Mziki Kabla hata ya KR
Hawa wote wasanii wa elfu mbili kasoro caz t,soggy, inspekta haroun1. D-Knob a.k.a Mr Sahani
2. Mchizi Mox
3. Jose Mtambo
4. Stopper the Ryhme Maker
5. Inspekta Haroun
6. Wagosi wa kaya
7. Mr. Ebo a.k.a Massai
8. Mr. Paul
9. Rah P
10. Enika
11. Mapacha
12. Watengwa
13. Unique Sisters
14. Hardy Mad
15. Jaffarai
16. Piggy Black
17. Caz-T
18. Renee Lamira
20. Grace Matata
21. Cpwaa (R.I.P)
22. Saigon
23. Steve Kafire
24. Mad Ice
25. Mike T a.k.a Mnyalu
26. Soggy Doggy
27. O-Ten
29. Pauline Zongo
Anyway, 1995-2005 was the Golden Age of Bongo Music, before the likes of Mutahaba pulled the plug and ruined everything.
We had pioneers of every genre, just pure talent, no shenanigans.
Wewe mwenzangu na mimi tu 😀😀Nawajua wachache sana pengine wengi wao vibao vyao nimevisikia nisijue Nan kaimba,
Kina baba levo jee 🤔
Cinderella 2006/7,uko la pili, kweli kuna matoto humu,hapo nimemaliza chuoTobaaaa!!
Kiba anatoa kibao cha sindelela, niko la 2 , leo hii niko uraiani napambana na life, afu useme humjui?
Hauko serious wee.
Hao wa juzi,1995 nilikua nawasikiliza diplomatz,two proud/mr two/suguKuna kaka man wa kama noma na iwe noma
Mzee msimsahau best naso
Pia kuna sagna, cesir madin pia kuna wale walitoa ngoma moja inaitwa ni kweli lakini inakuhusu nini,
Huyo *** nilikua simpendi,alidhani kubana sauti ndiyo kujua kuimbaKuna Voice Wonder
Zamani alikuwa ana hasira na alikuwa anachana sana! Ana ngoma yake inaitwa Wanyee,ni noma sana! Ila saiz keshakuwa rojorojo chawa chawizeKiukweli mm baba levo nimemjua Juzi 2020 alivyo kuwa wasafi FM, na nikaambiwa ni msanii 🤔
Labda hujui hostoria yakeBaba levo hana usanii wowote