B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Range ya muda aliyo itoa ina wahusuHao wa juzi,1995 nilikua nawasikiliza diplomatz,two proud/mr two/sugu
Range ya muda aliyo itoa ina wahusuHao wa juzi,1995 nilikua nawasikiliza diplomatz,two proud/mr two/sugu
Mkuu mbona umewaacha Dudubaya na Sister P kwa makusudi?Daah Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani cheki list ya vipaji hivyo yaani mtaani kulikuwa hakupoi
1-juma nature
2-Q chillah
3-ferouz
4-Lady jay dee
5-professor jay
6-ngwear
7-jay moe
8-chege
9-dully Sykes
10-ray c
11-stara Thomas
12-T.i.d
13-mr blue
14-Fid Q
15-afande sele
16-mandojo&domo kaya
17-banana Zoro
18-daz baba
19-Ay&FA
20-mr nice
21-mez b
22-Gk
23-noorah
24-biz man
25-Temba
26-madee
27-tunda
28-kassim mganga
29-mb doggy
30-Z anto
31-matonya
32-joslin
33-Q jay
34- makamua
35-raha p
36-squeezer
37-dataz
38-2 berry
39-Langa
40-Geez mabovu
41- sugu
42- akili ze brain
43- tholo thang
44- inspector horoun
45-john walker
46-rado
47-kR
48-nako 2 nako
49-kikosi Cha mizinga
50-chid benz
51-suma lee
52-izzo b
Hicho ndo Kizazi Bora Cha mziki Cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru.yaani vipaji vilikuwa halisia sio haya mandegesule ya sasa hivi
Umefeli pake ulipowasau mashemela wangu Wagosi wa ndimba
Umbwa LotunoBila kumsahau shemeji yangu Chindo Man.
Umesahau kutaja ngoma yake kali kabisa Elimu mtaani dot com beat ya Miika Mwamba KaliHakuna mashaka hawa waliimba nyimbo zinaishi kuna mwamba anaitwa D knob ongezea jina lake
Ngoma zake
Ingewezekana ungekua wangu
Sauti gharama
Kitu gani
Bad man nk
Kuna bwana misosi najiuliza nitoke vipi
Pia roma mkatoliki
Banza Stone aliimba chorus moja ya kibabe sana ngoma inaitwa Misele ya Chid benz,ni balaa! R.I.PWapi Banza Stone!
🤔Hatari hata naogoba kukuambiaNdiyo kwani Kuna ubaya gani mzee ?
Najua wewe unapenda muziki wa Kongo na wa Kenya.Hata T.I.D nimemjua baada ya who passing btn my interview so ni kawaida
Tunapenda kuforce namjua ilihali simjui,
Mm sio mpenzi wa tv kiukweli hata muziki hasa wa Tz nao ni kazi nyingn, me hata kuangalia tv siwezi mkuu, ipo hivyo aani
😁, Basi nimeshindwa kuujua huo unaomaanishaHamna,huo wa dudu baya naujua
Huyu msanii sijawahi kumsikia19-Ay&FA
Mwehu wewe Joslin hajawahi kubana puaNipo nawasikiliza hawa jamaa Wakali KwanzaView attachment 3378269
Q Jay&Joslin kwa wakati wao ndiyo tukisema ni wabana pua but hawakuwazidi wa kizazi hiki.
Na ile identity yake utasikia aiii hugaaUmesahau kutaja ngoma yake kali kabisa Elimu mtaani dot com beat ya Miika Mwamba Kali
Hahahahaha Kenya hawana muziki bhn 😂Najua wewe unapenda muziki wa Kongo na wa Kenya.
Basi Hain noum jumapili njema🤔Hatari hata naogoba kukuambia
Oooh shukraniZamani alikuwa ana hasira na alikuwa anachana sana! Ana ngoma yake inaitwa Wanyee,ni noma sana! Ila saiz keshakuwa rojorojo chawa chawize
Ety ukisema watu wanaona ushamba sasa kutomjua mtu ni lazima?Wewe mwenzangu na mimi tu 😀😀