Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Daah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi:
  1. Juma Nature
  2. Q Chillah
  3. Ferouz
  4. Lady Jay Dee
  5. Professor Jay
  6. Ngwear
  7. Jay Moe
  8. Chege
  9. Dully Sykes
  10. Ray C
  11. Stara Thomas
  12. T.I.D
  13. Mr Blue
  14. Fid Q
  15. Afande Sele
  16. Mandojo & Domo Kaya
  17. Banana Zorro
  18. Daz Baba
  19. AY & FA
  20. Mr Nice
  21. Mez B
  22. GK
  23. Noorah
  24. Biz Man
  25. Temba
  26. Madee
  27. Tunda
  28. Kassim Mganga
  29. MB Doggy
  30. Z Anto
  31. Matonya
  32. Joslin
  33. Q Jay
  34. Makamua
  35. Raha P
  36. Squeezer
  37. Dataz
  38. 2 Berry
  39. Langa
  40. Geez Mabovu
  41. Sugu
  42. Akili Ze Brain
  43. Tholo Thang
  44. Inspector Haroun
  45. John Walker
  46. Rado
  47. KR
  48. Nako 2 Nako
  49. Kikosi Cha Mizinga
  50. Chid Benz
  51. Suma Lee
  52. Izzo B
Hicho ndo kizazi bora cha muziki cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru. Yaani vipaji vilikuwa halisia – sio haya mandegesule ya sasa hivi!
Kwa kweli una memory nzuri sana. Umekumbuka wote hao! Inaelekea darasani ulikuwa mkali sana. Enzi hizo miziki haikuwa imejaa matusi kama ya leo.
 
Huyu na yule
Huyu faida yule bure
Huyu na yule
Ee hee ee hee ee hee ee hee

Yule ni mtu wa kugeza huyu anabuni
Huyu wengi wanampenda yule ana damu ya kunguni
Huyu analia juu ya meza yule analia sakafuni
 
kune yule jamaa akiitwa Shetta, alikuwa na sauti moja safi sana
 
Back
Top Bottom