Bongo Hakuna Jezi Original

Ngoja shafi dauda aje ajibu hapa...
Atuambie zile anazouza anazitoa wapi...!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bei yako ina "free delivery" lazima ipande, bongo hatuna ubwanyenye huo wa kuletewa nguo nyumbani... plus ya kwako umesema ni "ya nyumbani." Tunavaa ya ugenini... its cheaper
Ishu sio free delivery. Jezi za wenzetu orijino ni ghali. Tofauti na tunavyodanganywa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jezi ya samagoal ni laki 3 na ushee.

Yaani hawa jamaa wanaweza rudisha hela yao kwenye mauzo ya jezi tu.
 
Ngoja shafi dauda aje ajibu hapa...
Atuambie zile anazouza anazitoa wapi...!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni original, ila hizo original pia zina grade, hizi tunazovaa bongo hata wenye club wanazitambua na kuna mapato wanapata kutokana na jezi tuzivaazo sisi shit kantri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…