Bongo Hakuna Jezi Original

Bongo Hakuna Jezi Original

Six Man

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
253
Reaction score
892
Jezi ya nyumbani ya Aston Villa kwa UK inauzwa kwa paundi 55.

Kumbuka paundi moja ni shilingi 3013.67.

55*3013.67=165715

Halafu hapa mnatuuzia jezi Tsh 30000 na kutuambia original.

Bongo hakuna jezi original.

Naitwa Six Man.
IMG-20200125-WA0047.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja shafi dauda aje ajibu hapa...
Atuambie zile anazouza anazitoa wapi...!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bei yako ina "free delivery" lazima ipande, bongo hatuna ubwanyenye huo wa kuletewa nguo nyumbani... plus ya kwako umesema ni "ya nyumbani." Tunavaa ya ugenini... its cheaper
Ishu sio free delivery. Jezi za wenzetu orijino ni ghali. Tofauti na tunavyodanganywa hapa
IMG-20200126-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jezi ya samagoal ni laki 3 na ushee.

Yaani hawa jamaa wanaweza rudisha hela yao kwenye mauzo ya jezi tu.
 
Ngoja shafi dauda aje ajibu hapa...
Atuambie zile anazouza anazitoa wapi...!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni original, ila hizo original pia zina grade, hizi tunazovaa bongo hata wenye club wanazitambua na kuna mapato wanapata kutokana na jezi tuzivaazo sisi shit kantri
 
Back
Top Bottom