Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
kuhusu ma-train ya bongo sijui kwakweli! kwani mie sio wa 'reli ya kati au tazara', lkn kama hayatumii steam engines sijui, otherwise yatakuwa yanatumia diesel engines. all apply the same principle! the difference is steam and diesel!
bora umekubali kwamba wewe ni fundi ujenzi! ndio maana hujui hata volume ya engine ni ipi! siajabu utasema volume ya engine ni area x distance haha! anyway, nimekufurahia sikonge kwani unapenda kujifunza, big up sana!
Mkuu,
Kwanza heri na wewe umekubali kuwa hujui locomotive za matrain ya Tz zinafanya kazi vipi. Kwa mtu uliyesomea magari na unafahamu VOLUME ya Engine, huoni ni AIBU kufundishwa na Fundi Mchundo wa UJENZI?
Si kuwa sifahamu Volume ya ENGINE ni nini. Nafahamu sana na kitu ambacho nilikiri wazi kabisa sifahamu ni "real formula relating Pressure, Temperature, Volume and Power (It can be Tires Torque, Force etc). Ila nikasema kuwa all in all, kama waliandika hiyo formula, basi walitumia BASIC ya uhusiano wa Pressure na Force na baada ya kuweka Energy/Power lost, wakaja na hiyo formula ambayo mie SIIFAHAMU. Hapa ningeliomba UNIANDIKIE au UNIONYESHE hata kama ni BASIC tu imekaaje.
Volume of Engine: Huko mnaiita Engine Displacement.
Engine displacement is the volume wept by all the pistons inside the cylinders of an internal combustion engine in a single movement from top dead centre(TDC) to bottom dead centre (BDC).
This is determined from the bore and stroke of an engine's cylinders. The bore is the diameter of the circular chambers cut into the cylinder block.
Mkuu, hapo unakuwa umepata Volume ya ENGINE katika CC.
Ukirudi kwenye TRAIN:
Ulisema kuwa Motor siyo engine, nikakuambia SI KWELI. Kwa mfano Electric motor ni ENGINE ila sema inatumia umeme as energy to produce torque (An electric motor is a motor that uses electical energy to produce mechanical energy) wakati engine za magari zinatumia gas FUELS.
Diesel-Locomotive:
(Diesel-electric) is a Diesel engine that drives an electrical generator whose output provides power to the traction motor. There is no mechanical connection between the engine and the wheels.
Kuanzia leo, ukumbuke milele kuwa locomotive nyingi duniani (ukiacha chache sana kama za Mkaa au Diesel-mechanical) hata kama hazitumii umeme, basi ukweli ni kuwa ZINAZALISHA UMEME. Kwa maneno mengine ni MOVING GENERATOR.
Kwenye magari ya kawaida, engine inazalisha TORQUE. Hii Force inaanzia kwenye Piston na kupelekwa kwenye piston road na baadaye Crankshaft. Tunaweza kusema no power lost. Sasa hii torque ikiunganishwa kwenye Gear Box, kuna enery lost. Ikija kuingizwa kwenye shaft kupelekwa kwenye matairi ya nyuma, kuna energy lost na hapo kuna lile box la differencial nalo kuna energy lost. Hadi ile enegy/power ikija kufika kwenye TIRES, kuna upotevu mkubwa sana wa ENERGY/POWER.
Sasa kwenye TRAIN ili kuzuia hii kitu ya power/energy lost, wanazalisha umeme na umeme unaenda moja kwa moja kwenye Motors which are mounted next to wheels of locomotive and motors changes electrical energy to mechanical energy and those Torque to move a locomotive/train.
Kinachonishinda hadi leo kuelewa ni kwa nini MAGARI hawatumii hii njia ili kuokoa upotevu wa energy usio na lazima. Ndiyo maana wengine wanasema kuna UMAFIA mkubwa sana kati ya watengeneza magari na makampuni ya mafuta.
Mkuu, nasubiri Formula inayounga Pressure, Heat, volume fo engine vs Power/torque of the wheel.