Bongo Hip Hop

Bongo Hip Hop

Sir mgax

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
2,160
Reaction score
3,831
Uzuri wa huu mchezo kuwe na distrac ya kundi na kundi, ama mtu na mtu.

Unadhani ipi iliwaka sana hadi mchezo wa live ukatace place….
 
Tatizo humu wengi ni madogo sanaa

90% yenu hamjui hizi ngoma kitambo sana kabla hamjaanza kutumia mademu zenu emoji za kulia lia

GMW mazimwi ft sugu-YAMENIKUTA
sugu - nasema nao
Mabagga fresh ft j.nature - mtulize.
Hard blasters - Chuzi limekubali

Kwa leo imetosha
 
Ndio mzee mwenzangu
 
Hiyo nasema nayo iache kaka👐
 
Back
Top Bottom