Bongo Kama Marekani: Kimara - Kibaha highway

Bongo Kama Marekani: Kimara - Kibaha highway

Wapumbavu watakwambia hawali barabara
Na shangaa mtu anapiga kelele za viwanda havijatengenezwa na Magufuli , wakati barabara na umeme hakuna. Hii ilikuwa ni from scratch ya Nchi Ya Viwanda
 
kila mtu na iq yake, ndio shida ilipo
>Fanya fujo isiyoumiza watu.
 

Attachments

  • IMG_20220616_085126_635.jpg
    IMG_20220616_085126_635.jpg
    38.5 KB · Views: 9
Kazi za JPM hizo zinaonekana sio wale wanao zurura kutwa kuchwa kwenda kusalimia memba wa ukoo wao nje ya nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii ni moja ya kazi Magufuli. Navuta picha Kama kungekuwa na Rais kama Magufuli kwa awamu tano, Je Tanzania ingekuwa vipi? CHEKI VIDEO


Ungesema tu Bongo kama Nairobi Marekani mabali sana. Kama ni baraba ra kwa East Afrika zungumzia Kenya ndo mfano halisi hako kakipande ni kafupi sana ukikinganisha na wenzetu Kenya basi ni yale yale akipenda chongo huita Kengeza.
 
Ushamba unakusumbua tu huna jipyaa subiri daraja la kutoka dar mpaka unguja utasema bongo ni kama mbinguni
Hizi ndoto sio za leo wala kesho kutwa...ndoto za vijiweni na watu wasiotaka kushughulisha akili zao...
Daraja la Busisi 3km ni 700B, now do the math 45km from Mbweni or 60+ from City Center to Znz itagharimu how much, puting all other factors constant..hapa tunaongelea 10T plus for a short route to Mbweni.
Na return yake ni nn and for how long?tunaenda kufuata bidhaa gani znz ku justfy hio gharama?
 
Izo km 158 zilizo bakia Kibaha to chalimze tumeambiwa tutegemee express way na road toll itakuwepo hababaha hapo ndio itakuwa patamu
 
Back
Top Bottom