Bongo Kama Marekani: Kimara - Kibaha highway

Bongo Kama Marekani: Kimara - Kibaha highway

Hatua chache tu hizo utusumbue. Na sikodi zetu watz zimejenga na kama ni mkopo si tunadaia watz.?
 
Izo km 158 zilizo bakia Kibaha to chalimze tumeambiwa tutegemee express way na road toll itakuwepo hababaha hapo ndio itakuwa patamu
Hii Mzee angekuepo Mkandarasi angekua site ameshaanza hicho kipande.
 
Kodi za watanzania ndio zimejenga barabara hiyo au mikopo ambayo mwisho wa siku tutakamuliwa.
Hakuna cha kusifu hapo, isipokuwa usimamizi wa kubuni mradi huu na kuutekeleza tuu kwa ufanisi
 
Back
Top Bottom