Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,276 Jun 16, 2022 #21 Hatua chache tu hizo utusumbue. Na sikodi zetu watz zimejenga na kama ni mkopo si tunadaia watz.?
Gobole JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 1,806 Reaction score 4,670 Jun 16, 2022 #22 luangalila said: Izo km 158 zilizo bakia Kibaha to chalimze tumeambiwa tutegemee express way na road toll itakuwepo hababaha hapo ndio itakuwa patamu Click to expand... Hii Mzee angekuepo Mkandarasi angekua site ameshaanza hicho kipande.
luangalila said: Izo km 158 zilizo bakia Kibaha to chalimze tumeambiwa tutegemee express way na road toll itakuwepo hababaha hapo ndio itakuwa patamu Click to expand... Hii Mzee angekuepo Mkandarasi angekua site ameshaanza hicho kipande.
battawi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 2,712 Reaction score 2,577 Jun 16, 2022 #23 Kodi za watanzania ndio zimejenga barabara hiyo au mikopo ambayo mwisho wa siku tutakamuliwa. Hakuna cha kusifu hapo, isipokuwa usimamizi wa kubuni mradi huu na kuutekeleza tuu kwa ufanisi
Kodi za watanzania ndio zimejenga barabara hiyo au mikopo ambayo mwisho wa siku tutakamuliwa. Hakuna cha kusifu hapo, isipokuwa usimamizi wa kubuni mradi huu na kuutekeleza tuu kwa ufanisi
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Jun 16, 2022 #24 Ata Gobole said: Hii Mzee angekuepo Mkandarasi angekua site ameshaanza hicho kipande. Click to expand... Mama ametamka juzi wanatakaniwe express sio kujaza ma BRT kila kona ww umeona wapi ?
Ata Gobole said: Hii Mzee angekuepo Mkandarasi angekua site ameshaanza hicho kipande. Click to expand... Mama ametamka juzi wanatakaniwe express sio kujaza ma BRT kila kona ww umeona wapi ?
Internet-Money JF-Expert Member Joined Apr 20, 2021 Posts 493 Reaction score 1,135 Jun 16, 2022 Thread starter #25 battawi said: Kodi za watanzania ndio zimejenga barabara Click to expand... Tunasubiri tuone Kodi za muamala na makodi mengine , zitafanyia nn
battawi said: Kodi za watanzania ndio zimejenga barabara Click to expand... Tunasubiri tuone Kodi za muamala na makodi mengine , zitafanyia nn