yaan[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dah
Unaibuka from nowhere to a person ambae hakuwa ana-argue na wewe lakini unamuita "zero brain!" Kwako wewe hiyo ni sawa?! Unaweza kunionesha popote nilipokukera wewe binafsi hadi uhitimishe kwamba sina akili?!Shari iko wapi hapa?
Sawa nimekeelewa samahani Kwa hilo!Unaibuka from nowhere to a person ambae hakuwa ana-argue na wewe lakini unamuita "zero brain!" Kwako wewe hiyo ni sawa?! Unaweza kunionesha popote nilipokukera wewe binafsi hadi uhitimishe kwamba sina akili?!
Yatakuwa ni yale matako box aliyoonesha juzi katika swimming kabla ya mtanangeKwa hawa wanawake hivi wema nini kimemshindisha hyo tuzo?Riyama deserve than her.
Now back to the question:Sawa nimekeelewa samahani Kwa hilo!
Hivi Tanzania hii ingekuwa taaluma zote tunaenda kusomea nje ya nchi tena kwa gharama zetu; ni Watanzania wangapi wangekuwa na japo diploma let alone degree?!Hivi kuna MTU aliwakataza hao bongo mavi wasiende kusomea hio taaluma?
Hilo ndo tatizo lililomcost ila ni muigizaji mzuri haswaa atulie afanye muvi nzuri aone km hachukui tuzoYou are so right.. Riyama alifanya vizuri sana kwenye fungu la kukosa. Lakini kwa sasa kabobea sana kwenye kuchamba. Movie zake zinakuwa kama comedy.
Perfect answer maana wao kweli films zao washamuuzia mhindi name Steve hajui kuigiza hata roboHiyo comment ya Mkudesimba imenichekeshaView attachment 733366
Mbali sanaTeh teh..Mpendwa umenikumbusha mbali hilo jina
Sidhani kama kunahaja ya kwenda nje ,kuna chuo bagamoyo cha sanaa.Now back to the question:
Hivi Tanzania hii ingekuwa taaluma zote tunaenda kusomea nje ya nchi tena kwa gharama zetu; ni Watanzania wangapi wangekuwa na japo diploma let alone degree?!
Fact na hilo ndo tatizo binadamu sijui tukojeTanzania tupi hivi...
Zinapotekea fursa kila mtu anasikilizia... wale wachache wenye uthubutu wakithubutu na kufanikiwa...
Utasikia maneno kama... "walikua na watu wao kabisa wamewaanda"
Cc: mahondaw
They didn't,later on wanablame"Kuuza" sio tatizo; tatizo ni hao Wahindi ( na Waswahili wapo) wasiowasilisha hizo kazi! Na wao hawaoni huo umuhimu kwa sababu wanachojali ni biashara yao tu... hayo matuzo wao wala hawana kazi nayo!!
Hata hivyo, ingawaje filamu zinakuwa mali ya Mhindi; still crew members wangeweza ku-demand filamu husika ziwasilishwe kwenye tuzo kwa sababu recognition ni muhimu sana kwenye sana!
Acha bhana! Yaani ukasome film production Chuo cha Sanaa Bagamoyo?! Are you serious?!Sidhani kama kunahaja ya kwenda nje ,kuna chuo bagamoyo cha sanaa.
Vilevile kuna baadhi ya vitu haihitajiki hata kwenda shule just usiliasi katika kazi unahitajika sio mapenzi mapenzi muda wote
Kenya hawatuzidi bana,,,Kenya ndo wabovu kbsa labda km unamlenga lupitaWalau kidogo maana hata Kenya wanatuzidi