Bongo movie acheni majungu hivi hatutafika

Bongo movie acheni majungu hivi hatutafika

Hiyo comment ya Mkudesimba imenichekesha
Screenshot_2018-04-03-12-57-57.jpg
 
Shari iko wapi hapa?
Unaibuka from nowhere to a person ambae hakuwa ana-argue na wewe lakini unamuita "zero brain!" Kwako wewe hiyo ni sawa?! Unaweza kunionesha popote nilipokukera wewe binafsi hadi uhitimishe kwamba sina akili?!
 
Sawa nimekeelewa samahani Kwa hilo!
 
Sawa nimekeelewa samahani Kwa hilo!
Now back to the question:
Hivi kuna MTU aliwakataza hao bongo mavi wasiende kusomea hio taaluma?
Hivi Tanzania hii ingekuwa taaluma zote tunaenda kusomea nje ya nchi tena kwa gharama zetu; ni Watanzania wangapi wangekuwa na japo diploma let alone degree?!
 
You are so right.. Riyama alifanya vizuri sana kwenye fungu la kukosa. Lakini kwa sasa kabobea sana kwenye kuchamba. Movie zake zinakuwa kama comedy.
Hilo ndo tatizo lililomcost ila ni muigizaji mzuri haswaa atulie afanye muvi nzuri aone km hachukui tuzo
 
Now back to the question:
Hivi Tanzania hii ingekuwa taaluma zote tunaenda kusomea nje ya nchi tena kwa gharama zetu; ni Watanzania wangapi wangekuwa na japo diploma let alone degree?!
Kumi tu wengine form six ndo tungeishia
 
Tanzania tupi hivi...

Zinapotekea fursa kila mtu anasikilizia... wale wachache wenye uthubutu wakithubutu na kufanikiwa...

Utasikia maneno kama... "walikua na watu wao kabisa wamewaanda"

Cc: mahondaw
 
Now back to the question:
Hivi Tanzania hii ingekuwa taaluma zote tunaenda kusomea nje ya nchi tena kwa gharama zetu; ni Watanzania wangapi wangekuwa na japo diploma let alone degree?!
Sidhani kama kunahaja ya kwenda nje ,kuna chuo bagamoyo cha sanaa.
Vilevile kuna baadhi ya vitu haihitajiki hata kwenda shule just usiliasi katika kazi unahitajika sio mapenzi mapenzi muda wote
 
Tanzania tupi hivi...

Zinapotekea fursa kila mtu anasikilizia... wale wachache wenye uthubutu wakithubutu na kufanikiwa...

Utasikia maneno kama... "walikua na watu wao kabisa wamewaanda"

Cc: mahondaw
Fact na hilo ndo tatizo binadamu sijui tukoje
Waliambiwa wapeleke wamegoma waliopeleka wameshinda wanachonga
 
"Kuuza" sio tatizo; tatizo ni hao Wahindi ( na Waswahili wapo) wasiowasilisha hizo kazi! Na wao hawaoni huo umuhimu kwa sababu wanachojali ni biashara yao tu... hayo matuzo wao wala hawana kazi nayo!!

Hata hivyo, ingawaje filamu zinakuwa mali ya Mhindi; still crew members wangeweza ku-demand filamu husika ziwasilishwe kwenye tuzo kwa sababu recognition ni muhimu sana kwenye sana!
They didn't,later on wanablame

Wanaafiki sana hawa
 
Sidhani kama kunahaja ya kwenda nje ,kuna chuo bagamoyo cha sanaa.
Vilevile kuna baadhi ya vitu haihitajiki hata kwenda shule just usiliasi katika kazi unahitajika sio mapenzi mapenzi muda wote
Acha bhana! Yaani ukasome film production Chuo cha Sanaa Bagamoyo?! Are you serious?!
 
Hivi yule muigizaji MADUHU anaishi Mwanza siku hizi?kama nimeuona ona mjini hapa kwa miezi kadhaa
 
Back
Top Bottom