Bongo movie acheni majungu hivi hatutafika

Kwa hawa wanawake hivi wema nini kimemshindisha hyo tuzo?Riyama deserve than her.
Hata Mimi nimeshangaa, tuacheni ushabiki wa kinafiki ktk kipengele hichi mashindi hakustahili kua Wema.
 
Hata Mimi nimeshangaa, tuacheni ushabiki wa kinafiki ktk kipengele hichi mashindi hakustahili kua Wema.
Huyo unayedhani ndie alistahili; je filamu aliyoshiriki iliwasilishwa kwenye awards?

Kama ndiyo; je ulipofika wakati wa kupiga kura; wewe binafsi; ulimpigia?!
 
Aisee kuliko kuangalia Bongo lala bora niangalie akili akili ya TBC
 
Majungu ni mtaji mkuu kibongobongo
 
Wasanii wengi wa Bongo Movie ni Vilaza, Na kilaza bila majungu hawezi kuishi maisha marefu hasa hapo Dar.
 
Tatizo langu kubwa lipo kwa hizo awards zenyewe. Hivi ni award au Tamasha la filamu?
Na kama tamasha litakua vipi International film festival wakatini filam za kiswahili tu?
Hawa waandaji vipi wazima kwanza? yani kwenye jina tu wameshachemka tayari.
 

Simfuasi wa bongo movie, lakini Irine hana mpizani kwa bongo, Hamna anemkamata kabisa.
 
BINTI ZANZIBAR NDIYO WALINYAKUA TUZO NYINGI LAKINI SISIKII HAWA WASANII WAKILALAMIKA ILA WEMA&GABO IMEKUWA TATIZO.Tuwalalamikie basi Wahadhiri na Maprof walioteua Washindi.Maana Majaji walitoka Tanzania,Kenya,Uganda &Rwanda pamoja na People Choices
 
Naona unawaongelea watu wawili, Riyama Ally na Steve Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…