Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Hazifundish ujasiriMisuko suko
The Foundation
Double J
Etc, hizo hapo za ujasiri.
Watanzania si majasiri Kwa asiliKama ulishawah angalia bongo movie hata kwa uchache wake utagundua bongo movie hazifundishi ujasiri kabisa visa vyao karibia vyote ni vya mapenzi hii imepelekea kuwa na kizazi ambacho sio majasiri
Tanzania hatuna majasiri kabisa hii ni kwa sababu mtoto anakua katika mazingira ambayo hayamfundishi ujasiri mojawapo ni hii bongo movie ambapo ukienda kuanzia azam, dstv mpaka startimes familia ziko bize kuziangalia kila siku
Ukiangalia movie za hollywood mfano prison break na hobbit zile movie zinafundisha ujasiri kwa kiasi kikubwa sana movie zetu wajifunze kutengeneza movie zinazofundisha ujasiri na sio kujikita kwenye mahusiano tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zinafundisha nn sasa?Hazifundish ujasiri
Movie kama hobbit ukiangalia inafundisha ujasiri mkubwa sana
Kuliko niangalie huba au jua kali ni bora niangalie our story au unfaithfulKama ulishawah angalia bongo movie hata kwa uchache wake utagundua bongo movie hazifundishi ujasiri kabisa visa vyao karibia vyote ni vya mapenzi hii imepelekea kuwa na kizazi ambacho sio majasiri