sijakataa kuzidiwa na sijamaanisha najigamba mkuu,ila kuna hapo juu kwa maelezo yake na kejeli nimeona kabisa kuwa nimemzidi mkuu,maana anaongea utumbo tu,so ujumbe huo ni kwa ajili yake na si wewe au mwingine yeyote...Unajuaje kuwa upo "deep sana" na unaweza kuwa msaada kwa wengine ambao baadhi yao wanskuzidi? Unapima IQ ya mtu kwa kuangalia comments?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii Kali nimecheka Sana aseeJini kachoka kutembea kaamua kupanda bajaj.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa wenzetu, mfano mzuri Marekani, ukiachana Na vipaji, asilimia kubwa ya waigizaji Ni mazao ya shule za sanaa,
Hapa kwetu Wolper ataigiza filamu mbili, baada ya hapo anatangaza kufungua kampuni ya filamu halafu yeye ndio director[emoji23][emoji23]
Tatizo ni pale unakuta mtu na "wiving" lake lina rangi mbili hizo hizo hadi movie inaisha.Kibaya zaidi tusipoangalia wanasema hatupendi vya kwetu.....wewe mtu anaigiza tajiri lakini kila akionekana anaonekana na suti hadi muda wa kula mezani kavaa suti.....
Na sio lazimal mlinzi awe chizi kwanza kwenye hali ya maisha huwa haipo hivyo....
...pia kwenye swala la maneno sijui wanakaririshwa hawa mbwa? Maana mtu anaongea kama anakumbuka kitu cha kuongea....stupid bongo movies bora hata tasnia ya mziki wamejiendeleza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo ni pale unakuta mtu na "wiving" lake lina rangi mbili hizo hizo hadi movie inaisha.
Nami huwa nakutana nazo huko. Otherwise siwezi kuharibu pesa kuangalia bongo movieNikipanda Magari ya kwenda mikoani huwa ndio naona wameweka...kwa hiyari yangu sijawai
Umesema vema, sas kama wao wahusika wanashindwa kuwa wazalendo kwa kuandika "subtitle" za kiswahili wanendekeza uzungu uchwara unategemea nin?Acheni kuponda tuu, wakati kuna some improvements zimefanyika.
Sema tu waendelee kukaza buti na wasiwaachie Wadosi a.k.a kina Kanjibai wafanye subtitles..juzi nimeangalia muvi jamaa anasema 'tunaenda kula bata' subtitle ikaandika 'we are going to eat Duck' nikashtuka lakini hapo hapo nikajiuliza, kwani hizo subtitle nimeandikiwa mimi au Mzungu? nikajiona nimekuwa kihere here.
Pia naijubali sana na Kanumba alikuwa anelewa nn anafanya pia alkuwa mbunifu ndo maan alkuwa tofauti sana na wengine.Naipenda filamu inaitwa M.O.S.E.S ya kanumba tu over
Ama kweli tumeadivansii.....'tunaenda mjini kula Bata' subtitle ikaandika "we are going to eat Duck in town:...
Hahahahahahaha nimecheka sana daahyaan mtu anapigwa rusasi anakufa alafu baada ya kudondoka chini anavuta nguo ili kitovu kisibaki wazi hiyo inakera sana
Yeye ndio director, producer, mshiriki mkuu, editor n.k.... movie moja ikiandikwa majina ya walioandaa na kushiriki hawafiki hata watano.Kwa wenzetu, mfano mzuri Marekani, ukiachana Na vipaji, asilimia kubwa ya waigizaji Ni mazao ya shule za sanaa,
Hapa kwetu Wolper ataigiza filamu mbili, baada ya hapo anatangaza kufungua kampuni ya filamu halafu yeye ndio director[emoji23][emoji23]
Kweli uko deep, hongera
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah....Nilisoma comment ya jamaa nikawa naitafakari mtu kama huyu unamjibuje...Kisha nikakutana na jibu lako nikacheka sana
Na kweli mahouse girls ndio wanaipenda sana.Bongo movie wanasema filamu za mahausi girl.!