Bongo Movie mnakera, kwanini hambadiliki?

Bongo Movie mnakera, kwanini hambadiliki?

Unajuaje kuwa upo "deep sana" na unaweza kuwa msaada kwa wengine ambao baadhi yao wanskuzidi? Unapima IQ ya mtu kwa kuangalia comments?
sijakataa kuzidiwa na sijamaanisha najigamba mkuu,ila kuna hapo juu kwa maelezo yake na kejeli nimeona kabisa kuwa nimemzidi mkuu,maana anaongea utumbo tu,so ujumbe huo ni kwa ajili yake na si wewe au mwingine yeyote...
 
Kibaya zaidi tusipoangalia wanasema hatupendi vya kwetu.....wewe mtu anaigiza tajiri lakini kila akionekana anaonekana na suti hadi muda wa kula mezani kavaa suti.....
Na sio lazimal mlinzi awe chizi kwanza kwenye hali ya maisha huwa haipo hivyo....
...pia kwenye swala la maneno sijui wanakaririshwa hawa mbwa? Maana mtu anaongea kama anakumbuka kitu cha kuongea....stupid bongo movies bora hata tasnia ya mziki wamejiendeleza
 
Kwa wenzetu, mfano mzuri Marekani, ukiachana Na vipaji, asilimia kubwa ya waigizaji Ni mazao ya shule za sanaa,
Hapa kwetu Wolper ataigiza filamu mbili, baada ya hapo anatangaza kufungua kampuni ya filamu halafu yeye ndio director[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tatizo ni pale unakuta mtu na "wiving" lake lina rangi mbili hizo hizo hadi movie inaisha.
 
Acheni kuponda tuu, wakati kuna some improvements zimefanyika.

Sema tu waendelee kukaza buti na wasiwaachie Wadosi a.k.a kina Kanjibai wafanye subtitles..juzi nimeangalia muvi jamaa anasema 'tunaenda mjini kula Bata' subtitle ikaandika 'we are going to eat Duck in town' nikashtuka lakini hapo hapo nikajiuliza, kwani hizo subtitle nimeandikiwa mimi au Mzungu? nikajiona nimekuwa kihere here.
 
Acheni kuponda tuu, wakati kuna some improvements zimefanyika.

Sema tu waendelee kukaza buti na wasiwaachie Wadosi a.k.a kina Kanjibai wafanye subtitles..juzi nimeangalia muvi jamaa anasema 'tunaenda kula bata' subtitle ikaandika 'we are going to eat Duck' nikashtuka lakini hapo hapo nikajiuliza, kwani hizo subtitle nimeandikiwa mimi au Mzungu? nikajiona nimekuwa kihere here.
Umesema vema, sas kama wao wahusika wanashindwa kuwa wazalendo kwa kuandika "subtitle" za kiswahili wanendekeza uzungu uchwara unategemea nin?

lazima tuwakosoe ili wabadilike kufanya kazi, yani unategemea mtu anacheza scene ya kuwa mlinzi afu anakuwa mjinga mjinga haiweezekan hata katika maisha ya kawaida hiko kitu hakipo na unasema kuna improvement gani hapo.

haiwezekan mtu mmoja ni director, camera man, producer etc. hata kama anakioaji lkn ufanisi utapungua that is stupidity.
 
Filamu za bongo movie zikianza tu baada ya dakika 5 hakuna haja ya kuendelea kutazama maana ushajua itaishaje.Yaani hazikufanyi ufikirishe sana ubongo wako.Kiufupi hazina ufundi!

Ova.
 
Mie kinakikera ni kukaa uchiiiiiiiii
Kwenye Bongo fleva ndio kabisaaaa

Sasa hivi mpango mzima Koreaaaaaaaaa

Acha waendelee kuuza sura na kuendeleza NGONO MOVIE
 
Kwa wenzetu, mfano mzuri Marekani, ukiachana Na vipaji, asilimia kubwa ya waigizaji Ni mazao ya shule za sanaa,
Hapa kwetu Wolper ataigiza filamu mbili, baada ya hapo anatangaza kufungua kampuni ya filamu halafu yeye ndio director[emoji23][emoji23]
Yeye ndio director, producer, mshiriki mkuu, editor n.k.... movie moja ikiandikwa majina ya walioandaa na kushiriki hawafiki hata watano.
 
kibongo bongo muvi zilikuwa enzi hizo za makundi kama WHITE ELEPHANT na TAMBA ARTS group,
 
Back
Top Bottom