Washajimaliza hao bora hata cheni kajiingiza kwenye u-mcmie nilishakataa kabisa kununua movies zao na nilizokuwa nimenunua nilitupa jalalani, wanakera sana badala ya kufanya kazi zao wao wanaingiza na siasa, hapo ndio wanaharibu na watatumika sana, njaa hizi
yan hata wabinuke hawawez uza movie zao kwa kukosa ubunifu.Wasanii mbalimbali wa tasnia ya Filamu Tanzania wakiongozwa na mwigizaji Steve Nyerere leo September 16, 2017 wamekutana na Waandishi wa habari kuzindua Kampeni ya Uzalendo Kwanza ambao una lengo la kuitangaza na kuilinda Tanzania katika kuwaunga mkono viongozi wakuu wa Tanzania akiwemo President Magufuli, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu
View attachment 589452