Bongo movie ni kikundi cha CCM kwa sasa

Bongo movie ni kikundi cha CCM kwa sasa

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Wasanii mbalimbali wa tasnia ya Filamu Tanzania wakiongozwa na mwigizaji Steve Nyerere leo September 16, 2017 wamekutana na Waandishi wa habari kuzindua Kampeni ya Uzalendo Kwanza ambao una lengo la kuitangaza na kuilinda Tanzania katika kuwaunga mkono viongozi wakuu wa Tanzania akiwemo President Magufuli, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

nyerere1-660x398.png
 
Walipo kosea ndo hapa, walijiingiza kwenye siasa, halafu Steve Nyerere ana waburuta kama toroli. Wafanye kazi waache hizi mambo
 
Hawa hawajui wanataka nini na hawajui wanapoenda, pole yao
 
Wasanii mbalimbali wa tasnia ya Filamu Tanzania wakiongozwa na mwigizaji Steve Nyerere leo September 16, 2017 wamekutana na Waandishi wa habari kuzindua Kampeni ya Uzalendo Kwanza ambao una lengo la kuitangaza na kuilinda Tanzania katika kuwaunga mkono viongozi wakuu wa Tanzania akiwemo President Magufuli, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

View attachment 589452
yan hata wabinuke hawawez uza movie zao kwa kukosa ubunifu.
 
Back
Top Bottom