sheby dunia
Member
- Jul 12, 2018
- 78
- 83
Habari wakuu,
Najua kuna watu wamejtoa kabsa kufatilia Bongo Movie lakini embu tujadili kidogo mana hakuna namna mtoto hata akiwa taira huwezi msusa.
Nimejaribu kukaa kuwaza kwanini Bongo Movie haipandi kimataifa.
Na hizi ndo sababu nilizoziona.
1. Directors
Baadhi ya madirector wamekua wakshndwa kutanua wigo wa kaz yao wanapenda sana ku-base kwenye vitu vya aina moja story za kufanana na hii kitu inapunguzo mvuto.
2. Actors/actresses
Hapa bado changamoto sana kiwanda cha movie Bongo na baadhi ya ma-director uwa wana angalia sana umaarufu mvuto kuliko kpaji iki kitu nacho kinaua bongo movie.
3. Mashabiki /Watanzania
Baadhi ya Watz wamekua wakuundermine kila siku bila kutoa mda kuwapa nafasi ya kuangalia movie sio movie zote mizinguo kuna watu wako serious.
4. Mwisho kabisa movie ni kazi na sio sherehe kama wanavofanya ma-director wengi wanaeka watu kwa umaarufu na kuacha vipaji