Bongo Movie wanapataje hela?

Bongo Movie wanapataje hela?

Wamejikita kwenye tamthilia, huko ukipata shavu kuna maokoto.

Na wale wenye film production zao ndo wanapiga mpunga zaidi, ndio maana siku hizi single movies ni kwa underground ila wakongwe wamekimbilia kwenye series.
 
Habari,

Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela?

Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na sasa watu kustream/download movie online.

Naomba kujua hii Tasnia watu wanapata vipi hela.
Kupitia Tamthilia.
 
Hata kwenye kazi yako ya ualimj uliyonayo hakikisha unaka duka ka mangi nyumban kwako. Jiongeze kuna online marketing. Na bidhaa sio lazima nijumue. Yeye mwenyewe ni bidhaa iliyokamilika ukifika bei.
 
Dah

Kwaiyo hamna hela?
 
Habari,

Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela?

Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na sasa watu kustream/download movie online.

Naomba kujua hii Tasnia watu wanapata vipi hela.
Nowdays wengi wao ni machawa
 
Back
Top Bottom