Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Waache ujinga,,mm nikae chini niangalie bongo movie wakat NAJUA story itakavyo kuwa? Wamwache DJ mark wetu tuenjoy na vitu vya kikolea
 
Wampe na zao awatafsrie maana nimechoka na subtitles za kibongo
 
Hivi ktk dunia ya leo unaweza ukamlazimisha mtoto kula mihogo ya kuchoma kwa lazima pembeni ya chips kuku? Wasitulazimishe, waongeze tu ufanisi, ktk hilo hakuna cha uzalendo hapa.
 
Bongo move wamekosa wa kumshitaki wafanye move kama wenzetu siku zote chenye gharama ndicho kiziri so wasitumie gharama ndogo wakizani watatengeneza kilicho bora never.
 
Miaka 8000+ bongo movie haitapasua anga za kimataifa.... unless waache kujifanya wanajua na wapewe shule ya uigizaji na production inafanyikaje...
Huyo mlela ndo kabisa hajui kuigiza ...
 
Itabidi wamstaki na yule anaetafsiri bongo muvi kwenda lugha zingine Poa, mwenye haki ya kuwastaki ni mmiliki au kampuni ya muvi husika wao watatumia kifungu kipi.
 
Kwel wameixhiwa,,,,,xaxa kwa 7bu hawataki kujifunza kutoka kwa wanaojua bx ngoja wanyooxhwe,,na wanavozid kuziandama movie za nje ndo wanavozd kujichimbia kaburi
 
Wamekosa kazi hao bongo movie,, ntaachaje kumuangalia chakor niwaangalia hao low quality
 
Wafanye kaz wasilete maneno.kwan kipind kanumba anafanya na muvizake kwan hzo hazkwepo? Hawawez tuzuia muvi zao mbovu mpaka mbovu tena....
 
Ttzo lao hawalijui wasanii wetu, filam zao hazina ushawishi yaan wanarahisisha cjui ndo kuepuka gharama au laa stori zao hazina mvuto waigizaji wahawendan na uhalisia wa filam ss nani anunue.
 
Nafikiri BONGO MOVIES hawamjui adui yao wakweli. Wanadhani kuweka majungu na pingamizi nyingi kuhusu Movie za nje ndio watapata soko jambo ambalo sio kweli.
Wamesahau kuwa kipindi hiki ni cha soko huria bidhaa inajiuza kutokana na ubora na sio kulazimisha watu kununua bidhaa.
Kingine hata wakizui uingiaji na kutafsiriwa bado watu wata Download ktk mitandao.
Chamsingi 1.waboreshe movies zao
2.watunge stori nzuri
3. Wajitahidi Actors wasijirudie jirudie kila movie maana, kujirudia sana kwa wahusika inapunguza ubora na ladha.
4. Waache kukopy story za kinaijeria namaanisha waleta ladha mpya.
 
Nahisi hakuna mahakama itakayomsaidia mfanyabiashara kuondoa bidhaa za competitor wake kirahisi namna hiyo, na sidhani kama mahakama inaweza kupiga muhuri kudhibitisha bidhaa zenye ubora kiduchu ka bongo movies dhidi ya zile za kigeni. Ubora?????

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom