Link ya trailer zake?Movie kutoka nchi jirani ya Kenya binafsi zinanionesha wapo serious kidogo na kazi zao.
Kibongo bongo nitabaki na hii chini
Pengine sababu walioigiza ni watu niwapendao kimuziki hasa EAST COAST TEAM.
Bila kuwasahau hawa ndugu. (Honourable mention)
na nyinginenzo kama
tatu chafu
wahuni wakubwa
ndoto za kitaa
ishu za simu
msala wa beki tatu nk.
Aah wapi, labda kama comedy maanake Gongo Movie huwa mnafanya maigizo tu hadi kwenye kuigiza. 😁Cha kuchekesha filamu za bongo movie ni maarufu sana huko kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya bhana. Yaani ndio muvi yenu ya kwanza mnayoiita nzuri ya action basi hatunywi maji. Muvi ya action ya dizaini hii hapa tz tuliifanya 2009Movie industry in East Africa inaendelea kupiga hatua sana haswa kwenye quality ya picha, creativity, graphics na storyline.
Kenya Kama kawaida ndio kinaara ifikapo quality in terms of production and creativity ukilinganisha na Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Kenyan Movie
Bongo Movies
Filamu ya shumileta ni maarufu kenya kuzidi baadhi ya celebrities wa kenya [emoji23][emoji23][emoji23]Ulijuaje?
Citizen tv huwa wanaonesha filamu za bongo movies mara kibao tu.Aah wapi, labda kama comedy maanake Gongo Movie huwa mnafanya maigizo tu hadi kwenye kuigiza. [emoji16]
Citizen Tv kama tu stesheni zingine maarufu za Kenya huwa inatizamwa kote AM, sanasana na watz ndio maana lazima wajumuishe content za AM. Eti Shumileta, seriously? [emoji1] Mbona unalazimisha sana? Hiyo nayo ni filamu ya kutizamwa au uhuni flani tu? [emoji1]Filamu ya shumileta ni maarufu kenya kuzidi baadhi ya celebrities wa kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Kule pwani ya kenya mombasani nk asilimia kubwa huwa wanapendelea bongo movies ila wewe wa humu utabisha, Citizen tv huwa wanaonesha filamu za bongo movies mara kibao tu.
Ona unavyo jitetea kupingana na ukweli,Citizen Tv kama tu stesheni zingine maarufu za Kenya zinatizamwa kote AM, sanasana na watz ndio maana lazima wajumuishe content za AM. Eti Shumileta, seriously? Mbona unalazimisha sana? Hiyo nayo ni filamu ya kutizamwa au uhuni flani tu? [emoji1]
Hapo napingana na wewe vibaya sana, wapo watanzania wanaangalia citizwn tv karibia kila siku huko bongo..eti wakenyaOna unavyo jitetea kupingana na ukweli,
Hiyo citizen tv inatazamwa na Watanzania wachache sana unaweza kuta ni wakenya wanaoishi Tanzania tena siku hizi haipatikani kwenye kisimbuzi cha startimes,
Ooh kumbe unaifahamu shumileta...hii ni ya kitambo lakini kama nilivyo kuambia ni maarufu kenya kuzidi baadhi ya celebrities wa kenya.
Bongo tunaangalia mpaka za kihindi.Hapo napingana na wewe vibaya sana, wapo watanzania wanaangalia citizwn tv karibia kila siku huko bongo..eti wakenya