Bongo Movies vs Kenyan Movies

Bongo Movies vs Kenyan Movies

Movie kutoka nchi jirani ya Kenya binafsi zinanionesha wapo serious kidogo na kazi zao.



Kibongo bongo nitabaki na hii chini

Pengine sababu walioigiza ni watu niwapendao kimuziki hasa EAST COAST TEAM.

Bila kuwasahau hawa ndugu. (Honourable mention)
na nyinginenzo kama
tatu chafu
wahuni wakubwa
ndoto za kitaa
ishu za simu
msala wa beki tatu nk.

Ushoroba
 
Kwa kweli Kenya kwenye quality wametuacha. Nairobi half Life [emoji119][emoji119][emoji91]

Kwa bongo Siri ya mtungi walifanya poa pia[emoji91][emoji91]
 
Filamu ya shumileta ni maarufu kenya kuzidi baadhi ya celebrities wa kenya [emoji23][emoji23][emoji23]

Kule pwani ya kenya mombasani nk asilimia kubwa huwa wanapendelea bongo movies ila wewe wa humu utabisha, Citizen tv huwa wanaonesha filamu za bongo movies mara kibao tu.
Walibadilisha, siku hizi ni Nollywood tu zaonyeshwa, Bongo hazileti mvuto buda
✌️
 
Action movie straight outta Kenya! Check out the 'Mission To Rescue' trailer! 🇰🇪👏🏽🔥
 

Attachments

  • Baze _ Mission To Rescue Trailer(720P_HD)_1.mp4
    9.5 MB
Back
Top Bottom