Bongo Movies vs Kenyan Movies

Hehehe!! Wabongo kwa movie zao za uchawi uchawi wasubiri sana, dah nimeipenda hiyo ya Kenya kuona quality movie ikichezewa kwenye barabara ambazo nimezoea kuzitumia.
 
Hakuna muigizaji wa Kenya ninayemfahamu tofauti Mwala, Onyango na wale wa vituko mahakamani
 
Hehehe!! Wabongo kwa movie zao za uchawi uchawi wasubiri sana, dah nimeipenda hiyo ya Kenya kuona quality movie ikichezewa kwenye barabara ambazo nimezoea kuzitumia.
Ila mitaa yenu ime rust[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona msiangalie habari za jpm [emoji23][emoji23]
Manake hko ukitaka leseni yako ibakie salama msifie mkulu
Ni kenya pekee ambayo rais na wanachi wote wamevurugwa,yaani wewe unaweza amka uko na stress ukatukana jubilee mpaka uchoke,kisha unakuja kuisifia hapa jf.

Sisi hatuna sababu ya kutukana rais wetu,maana si mrevi wala mvuta bangi.
 
Bongo movie wanatakiwa kumchukua Jiwe, anaonekana ni muigizaji mzuri sana.
 
Hi shumileta nilikuwa naisikia na dada yangu mdogo(9yrs old at the time) na oia vijakazi was nyumbani. Kwa filamu naweza taka tushirikiane na tukuze sector hi kwa pamoja.
 
Hi shumileta nilikuwa naisikia na dada yangu mdogo(9yrs old at the time) na oia vijakazi was nyumbani. Kwa filamu naweza taka tushirikiane na tukuze sector hi kwa pamoja.
Mimi huwa napendelea hizi wanazoigiza kwa mtindo wa series na episode huwa wanazipatia sana,

Hizi ni baadhi ambazo zimependwa sana.

Hio sio muvi ya kenya, Ni kipande kidogo tu kwenye series ya netflix inaitwa sense 8,

Anyway hongera kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…