Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Mimi huwa napendelea hizi wanazoigiza kwa mtindo wa series na episode huwa wanazipatia sana,
Hizi ni baadhi ambazo zimependwa sana.
UshorobaMovie kutoka nchi jirani ya Kenya binafsi zinanionesha wapo serious kidogo na kazi zao.
Kibongo bongo nitabaki na hii chini
Pengine sababu walioigiza ni watu niwapendao kimuziki hasa EAST COAST TEAM.
Bila kuwasahau hawa ndugu. (Honourable mention)
na nyinginenzo kama
tatu chafu
wahuni wakubwa
ndoto za kitaa
ishu za simu
msala wa beki tatu nk.
Walibadilisha, siku hizi ni Nollywood tu zaonyeshwa, Bongo hazileti mvuto budaFilamu ya shumileta ni maarufu kenya kuzidi baadhi ya celebrities wa kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Kule pwani ya kenya mombasani nk asilimia kubwa huwa wanapendelea bongo movies ila wewe wa humu utabisha, Citizen tv huwa wanaonesha filamu za bongo movies mara kibao tu.