Bongo mtihani sana just imagine kuuziwa US dollar kwenye bureau mpaka connection

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Unaenda kwenye Bureau unakuta mwenzio anauziwa dollar vizuri ila ikifika zamu yako unaambiwa stock imeisha inabidi uwe humble tu maana hii Tanzania Kila kitu ukichukulia personal basi options ni mbili kuzeeka mapema au kufa mapema.
 
Unaenda kwenye Bureau unakuta mwenzio anauziwa dollar vizuri ila ikifika zamu yako unaambiwa stock imeisha inabidi uwe humble tu maana hii TZ Kila kitu ukichukulia personal basi options ni mbili kuzeeka mapema au kufa mapema.
Sijajua kama ni utaratibu au vipi, kuna mtu anafanya bereau huko arusha aliniambia wao kwa sasa wanapokea dollar na kutoa tshs hawauzi dollar kabisa.
Nikawaza labda wanazikusanya halafu zinaenda uzwa black market penye rate ya juu zaidi.
 
Ndivyo ilivyo mkuu Kuna vitu havipo sawa and no one care
 
Sijajua kama ni utaratibu au vipi, kuna mtu anafanya bereau huko arusha aliniambia wao kwa sasa wanapokea dollar na kutoa tshs hawauzi dollar kabisa.
Nikawaza labda wanazikusanya halafu zinaenda uzwa black market penye rate ya juu zaidi.
Kipindi kile dollar imepanda ukizama nayo black market kulikua na rate nzuri sana mpaka $1=2850Tsh/=
 
Back
Top Bottom