irene charles
Member
- Jan 28, 2013
- 5
- 0
Leo kuna mwakilish wa bongo muv alikuwa anaomba mchango clouds fm wa sh.1ml ili wakamchukue mwenzao(ma2main) aliyepo msumbij,ss kwan wao wanashindwa kutoa hyo pesa mpk wa Tz 2changie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo movie bongo lala wanakula bata tu akiba hawaweki ?
hawa bongo movie wabadilishe jina na kujiita bongo omba omba....yani kweli hadi 1m wanaenda redioni?
wanaangusha birthday na engagement parties za kufa mtu ila ikitokea shida ya maana wanakimbilia redioni...tumewachoka sasa
Hawa bongo ushuzi ina maana wao hawana mil 1 kwel?
Nackia alienda na mwenzie gan cjui, ila walienda kwaajil ya kufanya show na badae ma2main akapata bwn wa hukohuko wakaanza kuish pa1 lkn alivyoanza kuumwa huyo bwn akamkimbia na kumuacha ndan bla msaada wowote ndo mpk leo hajiwez na hana hela ya kurudia.