Bongo muv waomba msaada kwa wa Tz.

Bongo muv waomba msaada kwa wa Tz.

irene charles

Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Leo kuna mwakilish wa bongo muv alikuwa anaomba mchango clouds fm wa sh.1ml ili wakamchukue mwenzao(ma2main) aliyepo msumbij,ss kwan wao wanashindwa kutoa hyo pesa mpk wa Tz 2changie?
 
Bongo movie bongo lala wanakula bata tu akiba hawaweki ?

mmh hawa ndg wanashangaza sna ata wangexema watoe twentytwenty wangepata hy m1 lakn wamekalia kujikarolite tu waume kwa wake.... looh oneni aibu jaman
 
yan hawa wamegeuka omba omba, wanashindwa changiana sasa imekuwa hulka kila kitu wachangiwe,
Kuna ya kuchangia lakini sasa jamani wanashindwa kumchangia mwenzao mil 1?
Mbona uwa tunaona kwenye magazeti wakijishebedua ooh nimevaa kiatu cha lak 8, cheni mil 1, sijui nini sasa wanashndwaje toa elfu 50, 50 watu ishirini milion 1 tayari.
Hawa bongo movie wanajidhalilisha mil 1 wanaweza bana
 
Usitukane mamba kabla hujavuka mto....Sipendi hii mibongo mavi, bongo flu hadi basi! Juzi mwanangu kaniuliza: lini baba utaleta cd ya diamond ya Nataka kulew@....nampenda sana mwanangu lakini kwenye hili nimekosa majibu!
 
haa c ku.amapedeshee wanalipia maameneja wao kwenda south....
 
Nackia alienda na mwenzie gan cjui, ila walienda kwaajil ya kufanya show na badae ma2main akapata bwn wa hukohuko wakaanza kuish pa1 lkn alivyoanza kuumwa huyo bwn akamkimbia na kumuacha ndan bla msaada wowote ndo mpk leo hajiwez na hana hela ya kurudia.
 
sasa kwanini na yeye alilikubali hilo lijamaa?ila acheni hivyo bongo movie huyo ni mwenzenu kueni na ushilikiano sio mmekaa mnauza misula yenu kwenye runinga alafu mnampotezea mwana wenu
 
hawa bongo movie wabadilishe jina na kujiita bongo omba omba....yani kweli hadi 1m wanaenda redioni?

wanaangusha birthday na engagement parties za kufa mtu ila ikitokea shida ya maana wanakimbilia redioni...tumewachoka sasa
 
hawa bongo movie wabadilishe jina na kujiita bongo omba omba....yani kweli hadi 1m wanaenda redioni?

wanaangusha birthday na engagement parties za kufa mtu ila ikitokea shida ya maana wanakimbilia redioni...tumewachoka sasa

Hawa sio ombaomba.
Ila huwa wanatumia fursa kama hizi kujipatia fedha through fund rising.
 
huyo aliyekua huko clouds kuomba pesa ni tapeli nadhani anataka apate mtaji
bongo movie hawakosi 1m
 
pole Ma2maini. Mungu ukuponye kwa damu ya mwanaye iliyomwagika Msalabani.

Jana nimekuona ulivyoshuka Dia. Nimesikitika sana.
 
Hawa bongo ushuzi ina maana wao hawana mil 1 kwel?

wewe sikilizia mbwembwe zao kwenye magazeti tu,eti pafyumu dola 300-420 halafu pia zinaagizwa nje sio hapa nchi lakini kumchangia mwenzao mil 1 arudishwe nchini apatiwe matibabu mpaka waombe msaada,hopeless kabisa hawa lazima wajue charity begins at home,wao wamemchangia sh ngapi kama mwenzao na sisi watu wa kawaida tuhamasike?
 
Nackia alienda na mwenzie gan cjui, ila walienda kwaajil ya kufanya show na badae ma2main akapata bwn wa hukohuko wakaanza kuish pa1 lkn alivyoanza kuumwa huyo bwn akamkimbia na kumuacha ndan bla msaada wowote ndo mpk leo hajiwez na hana hela ya kurudia.

Cku zote fanya k2 kilichokupeleka! Kaz na mapenz wap jaman! Kavamia ndo yamemkuta!
 
Ni vipi tena kukoseana adabu kuita Bongo muvi omba omba..


Juzi nimemsikia Mzee Majuto kwenye MKASI anaomba apewe trekta....
 
Mmh nilimuona kwa ma blogs ya udaku juzi dah kabebwa mgongoni kama mtoto jaman alafu naye sijui alikuwa analia mmh huruma jamani na kiwewe mzenzake saiv kaota kitambi tupa kule dah.
 
Back
Top Bottom